Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Mkuu kwanza tunakushukuru kutujulisha yule mdada izo picha sio zake... Mimi mwenyewe nilijua ni zakwake..

ila mkuu naomba samahani kukuambia tumia werevu kidogo tu... Utagundua hizo picha sio za kizungu...

Tofautisha ngozi ya kizungu na hiyo kwenye picha
Mkuu mzungu ,wakorea wote hao hao.
Huyo ni mkorea.
Kwani wewe ulikuwa unataka kusema ni mwafrika au Black America?
 
Hiki kisu wajameni.... Hizi nywele mwenye nazo... Kazifanyaje??? Yaani nataka za demu wangu ziwe hivi... Leta siri za mafanikio mama
screenshot_20190929-230954-jpeg.1219723
 
Kwakuwa ziko mtandaoni haimaanishi sio zake mkuu nikukosoe kidogo

Kuhusu rangi za wadada, wapo wadada humu wana rangi kali tatizo camera mzee

Quality ya picha za beyonce siwezi kujilinganisha nayo mimi kajamba nani, lakini uhakika ninao kuwa humu kuna visu kuliko hata mnavyoweza kufikiria

Asante mkuu kwa kutupenda hivyo hivyo na makunyanzi yetu,,, safi sana

Hannah Cresida Depal
Woyoooo!!

Asante kwa kuja, mchawi camera mchawi location😂😂 ila tunajikubali venye tulivyo.

Hivi we Dada uko wapi Leo Hannah
 
Nimepitia huu uzi comment moja baada ya moja.
Sikutaka kucomment hadi nilipoona mjadala kuhusu picha zinazosemekana ni mwanadada Scorpio me zikitumika kukandamiza warembo waliopost picha zao huku.
View attachment 1219660
Hii ni picha aliyopost akiwa ufukweni na hapo alipoitoa hiyo picha.
View attachment 1219661View attachment 1219662
Kwa ambao mlikuwa mnashobokea hizi picha huyu mdada sio mtanzania wala sio Mwafrika.
Hivo msikandie vyakwenu kwa kusifia vya kizungu/kiarabu.
Hizo ni picha alizopost Scorpio akisema ndio katoka kuniaje.
View attachment 1219664View attachment 1219665
Hiyo ya miguu haina haja ya maelezo.
Na nyinginezo ni hii View attachment 1219666

Lengo la kusema haya ni kuwakumbusha nyie vijana msidanganywe na rangi utamu wa chai ni sukari.
Msitamani ngozi nyeupe na kuona uafrika ni old skuli.
Dada zangu mnaotuma picha zenu mkiwa mazingira ya Kiafrika msife moyo mpaka sasa picha zenu ni bora kuliko za huyu Mzungu.
Naendelea kufuatilia.
@mzee toboa umetoboa boti! Great thinker indeed[emoji109]
 
Back
Top Bottom