PANTHERA LEO
JF-Expert Member
- Jan 25, 2019
- 2,307
- 3,437
Umelenga penyewe .. Hapa umewanyamazisha...Nacheza na akili zao si majinga haya... Wadada wenye akili na walio starabika huwezi kuta wanabishana icho kitu..
Kama Meeyah, na sakayo ni watu waliostarabika.. Hata kama ni kweli nimekosea wangetumia njia ya kistaarabu kuniambia
We angalia akili zao zilivyo mbovu wameshaanza kutumia personal attacks..
Hata mimi nimepoteza mda mwingi sana bora ningesoma biblia, Nilijua Jf wamestaaribika kumbe wapi..
Sasa hiyo ni mi mama ya miaka 30 inashindana na mimi miaka 20 ...ulafu unakuta ina mitoto mikubwa
Nakusihi wapotezee, DUNIANI hapa huwezi jua mambo ni mengi, sisi tupo nyuma ya keyboard