Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Unatumia simu gani best, ila scorpio me kaniangusha sana nilijua ni mtoto fulani hivi wa mbezi beach huko, mtoto Mashaaalah kube nae ni jumba bovu tu anatuletea picha za mtandaoni tena bila hata aibu...

Kweli wanawake nyie niwakuogopa sana, unaweza zaa na mtu huko nje na ukashupaza shingo kabisa kwamba huyu ni mtoto wako, nimeogopa ujasiri wenu..

Ila wadada wa humu nyie ni kiboko...
Techno werevaaaaa 🔥🔥🔥

Na scorpion me kawaweza kweli yaani ni hivi MKOME 😂😂😂😂
 
Asante sana cardio ntazingatia ushauri wako
Tafuta Iphone, ila kuanzia 7+ hii haichagui location yaani unatoka kama ulivyo bestii..

Tena kwa rangi yako hiyo, itabidi ufunge PM kwa muda kuepuka usumbufu..

all in all your very cute...
 
Back
Top Bottom