Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Weka izo izo zilipendwaNyimbo zangu ni za kitambo mkuu😁😁
Unatumia camera?😎Old school 😎😎 Cc ephen_ View attachment 3061280
Hapana natumia simu tu rafiki yangu mpendwa 😎😎Unatumia camera?😎
Hiyo simu ipo vizuri!Hapana natumia simu tu rafiki yangu mpendwa 😎😎
Asante sana rafiki yangu 😎😎😎Hiyo simu ipo vizuri!
Kipapa kimefanyiwa usafi au ni kama chaka la Shangazi kipilipili 🐒Kipapa bana, mi sio wa kutumiwa chat napewaga full package 😹😹
Siku wakinga wavurugike kichwani naselfika naye hapa
Wii ujue nacheka hapa mbavu zinauma, utanifanya niutoe ubuyu kabla ya muda muafaka.!! 🤣🤣🤣Kipapa kimefanyiwa usafi au ni kama chaka la Shangazi kipilipili 🐒
Ukiweza uza sembe😂😂😂 Ngoja nipambane
Kweli jamaa anakojolea pazuri 😘August 13 ndo natimiza mwezi
ASante kwa kunipa title 😂
Simba damudamu
Ndio maana Huna pesaSimba damudamu
Ndio maana Huna pesa
Ahahahahh embu tuonePesa hazijioneshagi njoo tuchungulie ac tuone
Rusha Picha bhana 😂😂😂😂 umenizungusha sana. Mengine yatafuataAhahahahh embu tuone
Ahahahahaha ngoja cm iponeRusha Picha bhana 😂😂😂😂 umenizungusha sana. Mengine yatafuata