Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Tunavyoileta
Tutaleta na ngunyani uliyoagiza
Na matokiπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Na kipome
Yaani surprise itabamba
Nkamu tuachane na hayo bana yashapita na nishakwambia siyataki.!!

Weeh! Nkamu unakumbuka ile issue hujaniambia imeishaje?
Em njoo pm kwanza πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Ila kipome kipo palepaleπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Ishu gani Nkamu?
Kipome unanidanganya nacho kila siku mpk nimechoka πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Weeh hapa sio penyewe kitu kile cha kuongelea chobingo..
Tukiongea kinyaki watatafuta gugo translate
 
Hahahaha hahahaha hahahaha hahahaha hahahaha nakojoaaaaaaaa Lamomy πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ unaijua ile zaburi inayosema β€œEe Bwana utete nao wanaoteta nami, upigane nao wanaopigana nami. Uwaabishe uwafedheeshe” ndio hiyo sasa
Wajinga wape muda watajimix na mafuta lazima yajitenge na maji.!!
 
Mnamsema jirani yangu waoneee hamna hayaπŸ˜‚πŸ˜‚:3Dance::3Dance:
 
Kati ya jamaa nliemdharau leo ni huyu Vincenzo Jr kuselfika bure na kupiga nyumba ya bosi wake pich** na anadai ni yake huku anagombania voch* na wanawake kule asee na ndev* zake mpaka kichogoni, acheni drama wana* mta....
Jomoni Kwan yy mwenyewe anasemaje πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ’”
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ unaijua ile zaburi inayosema β€œEe Bwana utete nao wanaoteta nami, upigane nao wanaopigana nami. Uwaabishe uwafedheeshe” ndio hiyo sasa
Wajinga wape muda watajimix na mafuta lazima yajitenge na maji.!!
Nkumbushe ni Zaburi ya ngapi?
 
πŸ˜‚πŸ˜‚ Anayo wewe usiseme hivo:AlienRave::AlienRave::AMOGUS::AMOGUS:
Nyumba kumiliki sio mchezo mdogo wangu, upate plot utafute mchoro wa ramani.!!
Ununue cement, mchanga nondo kwanza hata sijui km anajua hata bei ya cement mbwiga huyo…! Usimamishe boma, upige bati/ kigae halafu sasa ndio inaanza kuongea kiingereza skimming, tiles, gypsum alooo em akwendreee atuulize tuliojenga tumwambie hata kupiga picha tunasikia uvivu tunajua timbwili la nyumba.!!
 
Hahahaha...nacheka kama...mazuri mwenyewe anakwambia ana miliki Subaru πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ’”πŸ’”
 
Tena anakula vocha zaidi ya hao mabebezi , mtu mzima ovyo..oooo yule
Najiuliza yy shughuli zake anazifanya sa ngapi.. ilhali yy ni tajirii.. πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ’”...coz 24/7 yupo jf anagombania vocha na kuchit chat na wapuuz wenzake...
 
Kipome unanidanganya nacho kila siku mpk nimechoka πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Weeh hapa sio penyewe kitu kile cha kuongelea chobingo..
Tukiongea kinyaki watatafuta gugo translate
Kipome unanidanganya nacho kila siku mpk nimechoka πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Weeh hapa sio penyewe kitu kile cha kuongelea chobingo..
Tukiongea kinyaki watatafuta gugo translate
Wanavyopenda kugugo
Tutabambwa

Ila nahisi nimeshajua
Ngoja nije πŸ˜‚πŸ˜‚

Safari hii tunaleta vyote
Kipome na keki
 
Najiuliza yy shughuli zake anazifanya sa ngapi.. ilhali yy ni tajirii.. πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ’”...coz 24/7 yupo jf anagombania vocha na kuchit chat na wapuuz wenzake...
Hana kazi mjini anaishi kwa boss wake,Nop sina tatizo na ladies tatizo ni yy kujifanya tajiri , Dah tokea jana anakula credit afu wanamchora sana ,nimefuatilia hizo chitchat ,
Alfu limarioo linasfia ujing** Dah mkuu inasikitisha, ni limwijak * haswa , sasa hv anaandaa report kwa admn naenda kule JF members chat nkamparue
 
Hee
Kumbe matajiri wanagombania vocha na sisi wauza maparachichiπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ’”
Nchi ngumu sana hii πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Naliskitika aliwaponda humu mara wanauza ndizi hawajui Dolla aiseee kweli Mungu anakuumbua kweupeee unajisema mwenyewe
 
Back
Top Bottom