Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 76,039
- 230,142
TunavyoiletaBaki peke yako bye π
Tutaleta na ngunyani uliyoagiza
Na matokiππππ
Na kipome
Yaani surprise itabamba
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
TunavyoiletaBaki peke yako bye π
Nkamu tuachane na hayo bana yashapita na nishakwambia siyataki.!!Tunavyoileta
Tutaleta na ngunyani uliyoagiza
Na matokiππππ
Na kipome
Yaani surprise itabamba
Ila kipome kipo palepaleπππNkamu tuachane na hayo bana yashapita na nishakwambia siyataki.!!
Weeh! Nkamu unakumbuka ile issue hujaniambia imeishaje?
Em njoo pm kwanza πππ
Kipome unanidanganya nacho kila siku mpk nimechoka πππIla kipome kipo palepaleπππ
Ishu gani Nkamu?
πππ unaijua ile zaburi inayosema βEe Bwana utete nao wanaoteta nami, upigane nao wanaopigana nami. Uwaabishe uwafedheesheβ ndio hiyo sasaHahahaha hahahaha hahahaha hahahaha hahahaha nakojoaaaaaaaa Lamomy ππππ
Mnamsema jirani yangu waoneee hamna hayaπππππ unaijua ile zaburi inayosema βEe Bwana utete nao wanaoteta nami, upigane nao wanaopigana nami. Uwaabishe uwafedheesheβ ndio hiyo sasa
Wajinga wape muda watajimix na mafuta lazima yajitenge na maji.!!


ππ Anayo wewe usiseme hivoNyumba aitoe wapi beggars huyo matonya pro max, anagombania vocha mpk analia.!




Jomoni Kwan yy mwenyewe anasemaje ππππKati ya jamaa nliemdharau leo ni huyu Vincenzo Jr kuselfika bure na kupiga nyumba ya bosi wake pich** na anadai ni yake huku anagombania voch* na wanawake kule asee na ndev* zake mpaka kichogoni, acheni drama wana* mta....
Nkumbushe ni Zaburi ya ngapi?πππ unaijua ile zaburi inayosema βEe Bwana utete nao wanaoteta nami, upigane nao wanaopigana nami. Uwaabishe uwafedheesheβ ndio hiyo sasa
Wajinga wape muda watajimix na mafuta lazima yajitenge na maji.!!
Tena anakula vocha zaidi ya hao mabebezi , mtu mzima ovyo..oooo yuleJomoni Kwan yy mwenyewe anasemaje ππππ
Nyumba kumiliki sio mchezo mdogo wangu, upate plot utafute mchoro wa ramani.!!ππ Anayo wewe usiseme hivo![]()
Zaburi ya 35Nkumbushe ni Zaburi ya ngapi?
Awe makini atauponza πππTena anakula vocha zaidi ya hao mabebezi , mtu mzima ovyo..oooo yule
Hahahaha...nacheka kama...mazuri mwenyewe anakwambia ana miliki Subaru πππππNyumba kumiliki sio mchezo mdogo wangu, upate plot utafute mchoro wa ramani.!!
Ununue cement, mchanga nondo kwanza hata sijui km anajua hata bei ya cement mbwiga huyoβ¦! Usimamishe boma, upige bati/ kigae halafu sasa ndio inaanza kuongea kiingereza skimming, tiles, gypsum alooo em akwendreee atuulize tuliojenga tumwambie hata kupiga picha tunasikia uvivu tunajua timbwili la nyumba.!!
Najiuliza yy shughuli zake anazifanya sa ngapi.. ilhali yy ni tajirii.. πππ...coz 24/7 yupo jf anagombania vocha na kuchit chat na wapuuz wenzake...Tena anakula vocha zaidi ya hao mabebezi , mtu mzima ovyo..oooo yule
Auponze mara ngapi...?ππAwe makini atauponza πππ
Kipome unanidanganya nacho kila siku mpk nimechoka πππ
Weeh hapa sio penyewe kitu kile cha kuongelea chobingo..
Tukiongea kinyaki watatafuta gugo translate
Wanavyopenda kugugoKipome unanidanganya nacho kila siku mpk nimechoka πππ
Weeh hapa sio penyewe kitu kile cha kuongelea chobingo..
Tukiongea kinyaki watatafuta gugo translate
HeeTena anakula vocha zaidi ya hao mabebezi , mtu mzima ovyo..oooo yule
Hana kazi mjini anaishi kwa boss wake,Nop sina tatizo na ladies tatizo ni yy kujifanya tajiri , Dah tokea jana anakula credit afu wanamchora sana ,nimefuatilia hizo chitchat ,Najiuliza yy shughuli zake anazifanya sa ngapi.. ilhali yy ni tajirii.. πππ...coz 24/7 yupo jf anagombania vocha na kuchit chat na wapuuz wenzake...
Naliskitika aliwaponda humu mara wanauza ndizi hawajui Dolla aiseee kweli Mungu anakuumbua kweupeee unajisema mwenyeweHee
Kumbe matajiri wanagombania vocha na sisi wauza maparachichiππππ
Nchi ngumu sana hii ππππ