MENEMENE TEKERI NA PERESI
JF-Expert Member
- Mar 11, 2022
- 5,392
- 14,646
Kesho nitawashushia vocha hata za laki alafu nakupoteza hewani ni mwendo Bata kwenda mbeleUza viazi sweetheart...uwakomoea ...si ndio
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kesho nitawashushia vocha hata za laki alafu nakupoteza hewani ni mwendo Bata kwenda mbeleUza viazi sweetheart...uwakomoea ...si ndio
Ukiwashushia wao voja mm unanishushia nini sweetheart...?Kesho nitawashushia vocha hata za laki alafu nakupoteza hewani ni mwendo Bata kwenda mbele
Chochote utakachotakaUkiwashushia wao voja mm unanishushia nini sweetheart...?
Weee🥰🥰 kweliChochote utakachotaka
Baby wewe taja tu ,nipige hesabu kabisa maana gunia Mia mbili najiona nikipotea kabisa kijijini mpaka hela ikiisha ndiyo nitarudi hapaWeee🥰🥰 kweli
unavichuchu vizuri😉😉😉😉😘😘😘😘😘Greetings in the name of Wananchi 💚💚💛💛🖤🖤
Muwe na siku njema wapendwa
Wewe mahonda huyu ni wewe?Daimaaa mbeleeeee 💚💚💛💛🖤🖤💪💪
Kila la kheri Yangaaa💚 💚💛💛🖤🖤!🕺🕺🕺
Tukazurule wananchi[emoji169][emoji172]
Hiyo boyfriend shoes ya moto nkamu 😍Tukazurule wananchi💛💚
🤣🤣🤣 penseli hakui.Pedeshee penseli
Acha alock line za matajiri mchongoma😂😂😂😂
Hapana sio mimiWewe mahonda huyu ni wewe?
Mwehh sema kandambili asee chuchu wanazo vibinti vibichiunavichuchu vizuri😉😉😉😉😘😘😘😘😘
Hiyo boyfriend shoes ya moto nkamu 😍
Unyama huo mwaisa 😂😂😂Hiki kiatu Kuna dada mwingine naye alivyokiona tu
Akakipenda sana akataka nimpe
Sema ndio kikubwa
Kumbe ndio kinaitwa hivyo?😂
Mie mshamba hata sijui
Mie sijui,Kuna dogo anauza viatu mtumba,anawahi saa 10 karume kuchagua,alivyokiona akanichukulia nikampa 10 tu.
Kumbe!Unyama huo mwaisa 😂😂😂
Hiyo boyfriend shoe yenyewe.!!
Vimba nkamu.!Kumbe!
Acha nianze kutamba nacho
Vimba nkamu.!
Mwanakondoo ameshinda
Nkamu unapenda kujifanya wa kuja kumbe unatuchora.!! 😂😂😂Sema Mimi sijui mambo ya swaga😂
Kumbe Nina kiatu kipo kwenye trend na sijui