100 others
JF-Expert Member
- Aug 5, 2017
- 4,766
- 16,191
Ukiwa mod min-me utampa u platinum member.Kazi ya mod inanifaa sana, shift zote nitakua active
Hatutaki.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ukiwa mod min-me utampa u platinum member.Kazi ya mod inanifaa sana, shift zote nitakua active
Wewe lala! Unamjua love wa jua kali?Utafanya nikeshe kusubiri saa 9
Mimi nikiwa mod ban hazitokuwepo😂Ukiwa mod min-me utampa u platinum member.
Hatutaki.
Mkuu huyo mtoto ana balaa kama yale matoto ya kizulu.Utafanya nikeshe kusubiri saa 9
Hapana nyimbo za vijana siangaliiWewe lala! Unamjua love wa jua kali?
Hili suala la ugomvi naomba lichukuliwe serious huu uzi hatujauozea hivi😂😂😂 Subiri weekend nakuja kuwachangamsha mpk uzi uende sober kwa muda..!!
Basi mtafute love wa tamthilia ya jua kali ndio mimi sema kanizidi urefu na mimi nimemzidi weupe☺️Hapana nyimbo za vijana siangalii
Ukiwa mod utaanza kusoma pm zetu, usiwe mod asiee.Mimi nikiwa mod ban hazitokuwepo😂
Unaogopa kwani wewe pm huwa unaongea niniUkiwa mod utaanza kusoma pm zetu, usiwe mod asiee.
Na hautakiwi watu wa-relax hekaheka muhimu..!! Ngoja tupo jikoni soon tutaroast pipo 🤣🤣🤣Hili suala la ugomvi naomba lichukuliwe serious huu uzi hatujauozea hivi
Kipindi unawachangamsha na Kula ya kushoto naenda kuripot ufungiwe😂😂😂 Subiri weekend nakuja kuwachangamsha mpk uzi uende sober kwa muda..!!
😂😂😂 Usijali ww ripoti ndio raha ya kuchachua kijiwe na ban zitembeeKipindi unawachangamsha na Kula ya kushoto naenda kuripot ufungiwe
Me mchezo
Nyokaaa
Yes huu uzi ukikaa hivi bila kufungiwa unakua umepoaNa hautakiwi watu wa-relax hekaheka muhimu..!! Ngoja tupo jikoni soon tutaroast pipo 🤣🤣🤣
Magroup ya connection ya kutosha, hapa nilipo nimetoka kupokea connection ya mtu anapigwa style inaitwa YANGA BINGWA!Unaogopa kwani wewe pm huwa unaongea nini
Kumbe wewe ni kijana wa hovyoo😂Magroup ya connection ya kutosha, hapa nilipo nimetoka kupokea connection ya mtu anapigwa style inaitwa YANGA BINGWA!
Uzi umepoa km mkojo wa ngedere bana 🤣🤣🤣Yes huu uzi ukikaa hivi bila kufungiwa unakua umepoa
Kila nikijitahidi kujitoa watu wanani invite, hii jf ina watu wa hovyo sana.Kumbe wewe ni kijana wa hovyoo😂
😂😂😂 ongeza volume!!hii korido mida kama hii inabidi iwe vurugu
Hawa wanasema wamegonga mams moja
Hawa wamechukuliana mabwana
Hawa wanafake wapo italy kumbe wapo Kasulu
Yani tafrani