min -me
JF-Expert Member
- Jul 20, 2022
- 23,322
- 64,738
Njoo uone huku kijijini kwetu๐๐๐Hebu tuone km kweli ๐
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Njoo uone huku kijijini kwetu๐๐๐Hebu tuone km kweli ๐
Njoo uone huku kijijini kwetu๐๐๐Hebu tuone km kweli ๐
Mi niko town kwenye maandamano bana, tupia pic nikazie maandamano ๐นNjoo uone huku kijijini kwetu๐๐๐
Igweeeeeeee Madame ๐น๐น๐นDah!!
Ile kitu hatari sana, sahv imekuna original yake....๐ ๐ ๐
Yaani huulizi...ni copy & paste๐ฅฑ๐ฅฑ๐ฅฑ
Nimeona aiseee!! ๐น๐นZina bajeti ya matunzo matata sana
Unaandamana wapi wewe ๐Mi niko town kwenye maandamano bana, tupia pic nikazie maandamano ๐น
Mnazi mmoja nishafika ๐น๐นUnaandamana wapi wewe ๐
Ngoja wakunyakue kama kifaranga cha kuku๐Mnazi mmoja nishafika ๐น๐น
Yani wewe kwa kunitafutia wastaafu uko vizuri! Wastaafu wote waje kwangu ufalme wa kapisi ni wao
Hawana jeuri hiyo ๐น๐นNgoja wakunyakue kama kifaranga cha kuku๐
๐คฃ๐คฃ๐คฃ Ndio vizuri tule mafao na viinua mgongo shosti..!Yani wewe kwa kunitafutia wastaafu uko vizuri! Wastaafu wote waje kwangu ufalme wa kapisi ni wao
Ulifichwa wapi weekend?
Au wewe ni yule uliekua unapiga maombi kwenye maandamano ๐Hawana jeuri hiyo ๐น๐น
Babe ndio nini michezo ya kuvizia hatupo online ๐Niliweka ukawa umesinzia, Saint Anne akatoka kidogo, huwezi amini nimeweka two times. Utaniambia muda utakaokuwa free nitaweka tena ila mida ya wanga ๐ ๐ ๐ ๐
๐น๐น๐น Sura ngumu bangi nyingi..!Tatizo uhb mi napenda sura ng'ong'o๐
Niko poa sana msweet wake shem,๐คฃ๐คฃ๐คฃ Ndio vizuri tule mafao na viinua mgongo shosti..!
Kuna sehemu nilikuwa nashangaa mataa bana, leo nikasema wacha nikucheki shosti yangu.. uko pouwa?!
Sitaki kuwa murderer ๐๐๐น๐น๐น Sura ngumu bangi nyingi..!
Wewe ushazoea vita nakujua huyo mzee utampandisha sugar
Mi mamah wa ambushi na maombi wapi na wapi?? ๐๐๐Au wewe ni yule uliekua unapiga maombi kwenye maandamano ๐
Nilikumiso ๐Niko poa sana msweet wake shem,
wastaafu siwataki wanafanya na mie nakuwa mzee