Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Yupo mzigoni unamuharibia utulivu mahi wangu,

Hiyo mahi inanikumbushaga clip za pastor mgogo anavyoitamka
Mzigoni??
Kwani mko wapi? 😜
Nyie hamuogopi leo maandamano si msubiri kesho jamani 🤣🤣🤣
 
😍😍😍 odo hizo pisto Mashallah
Nyie Mungu anaumba km umeshushwa!!
Awwwwhh shem kajipata jamani had hips don lie zipo? 😂😂😂

Sie tuliodondokea bafuni turudi tukafanyike upya 😥
Unajua Odo nacheka, sijui haya maneno unayatoaga wapi jamani. Hakuna tena nimejipunguza, zimeisha kabisa. Siku nitakutumia TBT.
Wewe ulivyo vizuri vile, mshukuru Mungu kipenzi. Umemuona shemeji yako. Kanishtukiza na picha sikujiandaa 🤣🤣🤣🤣🤣
 
Yani ana maneno km kiredio
 
Back
Top Bottom