Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Hatimaye cheka 2, leo wanalala mapema 🤣🤣🤣🤣🤣 kesho wakute manyoya 😉 mlale unono...
Hivi wewe Uliniambia unapenda urembo hivi unajua kuwa unaweza kufungua kampuni yako ya urembo? Mimi ninakuja kwa kasi na kampuni yangu ya fashion brand 😊
 
Hongera sana, ni jambo zuri. Watu wangu wote wa karibu walijua nitadeal na hayo mambo. Ila imekuwa tofauti, japo niliwahi fanya kidogo nikaacha.

Kwasasa inabidi uumize kichwa sana. Kuja na kitu cha utofauti kidogo, nitalifanyia kazi. Ahsante Genius Man kwa kunikumbusha. Iko siku nitatoka na Brand yangu, Mungu hufanya njia pasipo na njia 🙏
 
Ikawe kheri inshallah tajiri
 
Unajua kufungua company ya urembo unahitaji kuwa maarufu ili ku push na kama sio maarufu utahitaji uwe na hela za promo kupush kazi zako za urembo, je wewe ulishindwa wapi nazani haukuwa na management yoyote alafu histoshe wewe peke yako ndio ulikuwa designer kwahiyo kama wewe ulikosa idea inamaana kazi zako zote zinasimama na ziki simama utajikuta unapata tu hasara na muda unaenda.hapa lazima ikushinde

Sasa nazani Bantu Lady hauna ramani bado alafu hauna experience kwenye kampuni za urembo, hauna management yoyote, kiufupi unahitaji msaada kwa genius ili nikupe ramani nikupe mawazo

Sema mimi sitaki kuwa kwenye kampuni yako mimi nina malengo yangu na kampuni zangu, ikiwemo za madini, media nk, mimi nazani nitakusaidia kwa mawazo, haya mawazo watu ndio sikuhizi hadi wana nunua
 
IMG_20240927_123733_555.jpg

Can't feel my face when I'm with you, but I love it, but I love it, oh. And I know she'll be the death of me, at least we'll both be numb
 
Back
Top Bottom