Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Sijui hata
Nipe ubuyu kidogo shost jamani
Jamaa wa kiume, akawa na I'd ya kike, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ko akawa anafuatwa PM, akipigiwa cm anaweka settup sauti ya kike,
Basi wazee wa JF wanajaa kwenye mfumo, kutuma miamala.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hee
Yesu wangu

Lini haya yametokea?πŸ˜‚
Ni id gani hiyo?

Ila watu wana hekahekaπŸ˜‚πŸ˜‚
 
Majasiri sana alooo.!
Wengine km wametahiriwa na panga havieleweki [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Ila pm raha nyie ukiwa mmbea unabwagiwa mibalaa ya waja kwa raha zako..!

Kuna mmoja ana poumbou km za mbusi kiruuuuu.!! [emoji81][emoji81][emoji81]
Ila umbea naacha rasmi nitapofuka macho bure nishindwe kuweka order za maua ya vijora vyangu..

Mahi nakutumia sie tena wambea…!!
Nitumiee mahiii, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] tena ana macho makubwa, unaambiwa.
Hata kushuka kwenye gari hawezi. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Ila coca 🀣

Hauna kapicha tuone?
 
Saiv wazee nawahama nataka dogo dogo wa kunichangamsha nikikaa hivi nipate sms za micheps? Mara nidanganywe nilie na utu uzima huu basi na akili ichangamke
Utaviweza vijukuu vya Farao lakini??
Katika kitu sitokuja kujaribu kudate na mwanaume niliyemzidi umri aiseee.!! 🀣🀣

Wakinga tuna dharau sasa kimtu kidogo eti kinipande kichwani naweza nikamzabua kofi akanichukia… 😹😹😹
Kuna mwebrania nilimuwashaga kofi halafu nikakimbia mimi, nikaona hapa huyu uvumilivu uko 0.00 ntachapika bure.
 
[emoji23][emoji23][emoji23] shem aselfike ila najua shem wangu super tall bana
Thubutuuuu, autoe wapii u tall? Ni kifupii, kina macho makubwaa, hata kwenye Gari hakuweza kushukaa,

Afu hapo unaambiwaa walikua wanaendaga had gym,
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23], nyiee mie sitakiiii, nimeokokaa.

Woiiiiiiih
 
Jamaa wa kiume, akawa na I'd ya kike, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ko akawa anafuatwa PM, akipigiwa cm anaweka settup sauti ya kike,
Basi wazee wa JF wanajaa kwenye mfumo, kutuma miamala.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hakuwa anaweka settup kuna dem alikuwa anampanga anaongea nao πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Back
Top Bottom