Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Huyo Mzee mwenzio kachanganya mafaili 🤣🤣
Inawezekana, kuna sehemu nilikusoma origin yako ni either BK ama Kwa Kagame

Kwa kuwa umri wangu umesogea, huenda nikawa nimesahau

But all in all, umetokea kunakofanyika Kilimo cha umwagiliaji 🙌🏃🏃🏃
 
Inawezekana, kuna sehemu nilikusoma origin yako ni either BK ama Kwa Kagame

Kwa kuwa umri wangu umesogea, huenda nikawa nimesahau

But all in all, umetokea kunakofanyika Kilimo cha umwagiliaji 🙌🏃🏃🏃
supu...supu....supu ndo chakula inayofaa wazee, chips kavu tuachie wanaobalehe🙊
 
supu...supu....supu ndo chakula inayofaa wazee, chips kavu tuachie wanaobalehe🙊
Pokea maua yako, wewe unajua nini Wazee wanapenda🤗

Ingekuwa Vijana wamelala ningesema kitu, ila Wacha nikae nayo Kwa roho hadi Siku utakayoniletea Kiko 🏃🏃
 
Nimebahatika kuwa karibu na wazee tabia zenu wanaume wengi zinafanana kwa karibu, hasa kupenda downtown, bamkwe naelewana nae ananikubali kinoma mpaka mwanae analeta viwivu, marehemu babu huyo tulikuwa marafiki mno hadi wajukuu wengine walikuwa wanaona wivu, na hii inaenda hadi kitaa nikiingia sehemu nikakuta aged men automatically tu nakuwa karibu nao kupiga stories, acha niwapende 'wazee' tu naona ndo nyota yangu ilipo,

Siku tuko club na wadogo zangu nikakutana na kijana wa zamani tukapiga story mnooo akatupiga offer nzito nzito akawaambia ndg yenu ana akili kuwazidi wote basi tangu hapo naitwa mama wa wastaafu[emoji1787][emoji1787]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Wasafi wameandika 2025 instead of 2024.

All in all, rest in peace Dida.
 
Attachments

  • IMG-20241004-WA0021.jpg
    IMG-20241004-WA0021.jpg
    47.5 KB · Views: 4
Back
Top Bottom