Countrywide
JF-Expert Member
- Mar 2, 2015
- 20,694
- 32,527
Unataka kumuongopea tu saint Anne ๐Wewe ndo unafanya nikose vocha za maboss humu, sa mi nna michongo na pesa gani? ๐น
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unataka kumuongopea tu saint Anne ๐Wewe ndo unafanya nikose vocha za maboss humu, sa mi nna michongo na pesa gani? ๐น
๐๐๐๐.Michuzi ndio haipo mkuu nategemea sana bahati na huruma za wapiga kura.Pambana mkuu, ndio mida yake hii jimboni.
Kibunda umeandaa cha kuwahadaa wapiga kura?๐
Hiyo ni mwaka 1-2 yatabaki yale makubwa kwa mbaali, mi mpk leo nina makovu na niliugua nikiwa na miaka 7Yeah ana karangi yanaonekanajee! Halafu naona yanakua meusi
Hahaa hii sahau mkuu.Probability ndogo sana labda kama ni kijana wa hapohapo kama kina Zito walivyopata.๐๐๐๐.Michuzi ndio haipo mkuu nategemea sana bahati na huruma za wapiga kura.
Duh..... hatariWajukuu kama wanautaka
Ni mwendo wa ubaya ubwela tu.
Hatariii๐ถSmaaaaartiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii aahhh Smaaartiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐
Mrare unono wapendwa ๐ด๐ค๐ค๐ค
Karibu tena selfika! Bila shaka kila kitu kipo poaaaa pande hizoHatariii
Hatari sana hioo Mlozi! Nyonyo zakwendraaaa๐ฅ๐ฅ๐ฅ๐ฅ
Karibu ya jioni ๐ต ๐Naomba chai
Nipe wewe basi mfyuuu.!! ๐น๐นUnataka kumuongopea tu saint Anne ๐
Yaah.! Nimefanikiwa chinoUmefanikiwa
๐น๐น๐น Hamna bana D yule sis age go.Bora umeonekana!!
Kuna mda nikasema au we ndo D double D. Nikawa nawasi wasi sana aise.
Kapeace tunaomba uselfike mahi mtoto mwenye figure yake mjini selfika..! ๐น๐นHalafu aselfike jamani
Tumemiss picha Kali,picha za itel tumezichokaa humu
Tajiri wa dunia pia Bantu Lady tunasubiri atusafishie ukungu
Poa Nkamu nishafanikiwa mzigo upo njianiKwa kweli hii route sijawahi kujaribu kusafirisha mzigo ila jaribu premier
๐คฃ๐คฃ๐คฃ SITAKIIIIKaah!
Si umuazime apigie tu picha
Kemia ili ujue kubalance matoke na dagaa ๐น๐น๐น๐โโ๏ธ๐โโ๏ธ๐โโ๏ธWakufundisha Kemia?
Labda Bios๐