RRONDO
JF-Expert Member
- Jan 3, 2010
- 55,727
- 123,094
Sehemu mbili tofauti. Samaki ni Nyumbani Park, hapo ni Star Park. Ukitoka round about ya Msamvu kuelekea Dom kona ya kwanza kushoto ndio ipo hio star Park. Pana fujo sana watoto wengi.Hapa ndio zamani palikuwa panaitwq samak samaki? Kuna maua mazuri saana apo