Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Hapa ndio zamani palikuwa panaitwq samak samaki? Kuna maua mazuri saana apo
Sehemu mbili tofauti. Samaki ni Nyumbani Park, hapo ni Star Park. Ukitoka round about ya Msamvu kuelekea Dom kona ya kwanza kushoto ndio ipo hio star Park. Pana fujo sana watoto wengi.
 
Sio mimi, lakini siku nyingine umtume kijana basi nisije nikakosa kutuzwa! 😔
Alafu ukija tena mshtue yule mama wa mishkaki karibu na stage, aniite 🙂
Ha ha ha ile picha niliona umepiga huo upande wa jukwaa, nilipoingia tu nikatupa macho upande huo bila bila 🤣🤣🤣
 
Back
Top Bottom