Sema kuna muda kuwaamini wanaume ni ngumu sana

Pamoja na yoootee

Gudy

Nyokoooo

😆 😂 😆 😂 😆 😂 😆
 

Jamaa nae analia lia sana 😊😊😊😊
Kataja Lilian mara mia mia.

Ningekuwa mm ningehairisha kukutana na ww pale uliposema umepelekwa mjin na Mr na atakupitia.

Ili nijipange vizur au niahirishe😎😎😎
 
Nimeisoma mada ila ni ngumu kumuhukumu huyo jamaa moja kwa moja kua alikua na nia mbaya,

Huenda alikua na kazi maeneo hayo,ndio ikabidi achague hapo mkutane,
Kama amesema yupo tayari upange eneo lingine ili umsikilize,basi huenda ana hoja,

Hata kama alikua na nia mbaya,inaonekana anajutia nia yake,na anajutia kuharibu uhusiano na heshima kati yenu,

Kwa upande wako,
Ulichukua maamuzi sahihi,kwani wasiwasi ndio akili,

Pia sidhani kama kulikua na umuhimu sana wa kuweka hizo chatting zenu coz ni rahisi mtu kuzi trace au muhusika kukujua.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…