Sema kuna muda kuwaamini wanaume ni ngumu sana

Jamaa nae analia lia sana 😊😊😊😊
Kataja Lilian mara mia mia.

Ningekuwa mm ningehairisha kukutana na ww pale uliposema umepelekwa mjin na Mr na atakupitia.

Ili nijipange vizur au niahirishe😎😎😎
Na bado analia lia hadi kesho,. Nikipost hata status anareply kwa vilio vyake vya msamaha hivohivo
 
Ni unafiki tu.

Ogopa sana Mwanaume ambaye ushamuambia au anajua kabisa kuwa una Mahusiano alaf bado akakutongoza.

ninachojua Mwanamke akivutiwa na ww bas ataficha mahusiano yake.
Sasa ww umeshamchana kuwa Mr yuko around alaf jamaa akaendelea kuset mazingira ya Kukutaka.

Huyo Hakuheshim hata kidogo.
 
Aliondoka kazini kwake na kwenda kuandaa mazingira ya huko,.

Hakuna anayeweza kunitrace via a sreenshot,. Akijua pia its nice though sio rahisi
 
Kwakweli niliona hilo pia,.
Hana heshima kama nilivyomdhania
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…