Afcon kinanuka
JF-Expert Member
- Apr 5, 2026
- 1,623
- 4,213
alijua kwa namna unavyomheshimu huwezi kumnyimaUpwiru ndio kwa yeyote tu hata unayeheshimiana nae jamani??
Lil nae aliset safari ya gafla ili akaonane na mshikajiHatari sana.
DaaahUkweli mtupu.
Sema mie wa hivi zamani nilikuwaga nawaweka benchi asubiri sub yake maana maisha ya mbeleni huwa hatuyajui.
Noma sana,Lil nae aliset safari ya gafla ili akaonane na mshikaji
Ila na sisi wanaume tuwe makini unaweza kuwa unampeleka mke wako shopping taun kumbe anaenda kumegwa😊 na kuonana na wahuni je lili angeingia kwenye hio GADENI Ingekuaje??
SawaHAKUNA URAFIKI KATI YA MWANAMKE NA MWANAUME WA KUONGEA TU.mwanaume aliyekamilika lazima akuombe tu kuunganisha negative&postive charges.Hata wewe mleta maada ulijua kabisa alichokuwa anakitafuta japokuwa hii ni hadithi tu umeamua kutusimulia
Halafu kingine tuta amini vipi ni kweli hukuingia GADENI 😊Dah😂😂😂
Jesus😫😫Lil nae aliset safari ya gafla ili akaonane na mshikaji
Ila na sisi wanaume tuwe makini unaweza kuwa unampeleka mke wako shopping taun kumbe anaenda kumegwa😊 na kuonana na wahuni je lili angeingia kwenye hio GADENI Ingekuaje??
Aàaah sahio Gudy yuko room kashakunywa nyagi mnara umesimama 6G anasubir msos ni ngumu sana asingetoka 😁Ungemwambia atoke nje muyamalize na boda akusubiri.
Acha tamaa dogo🤣Ila una jina zuri Lilian 🤗 am in love with a name 😙😘