Sema kuna muda kuwaamini wanaume ni ngumu sana

Bahati yako ametumia njia rahisi mshukuru M-ngu wako mpaka ukashituka mapema ugekuja kushituka imeshaliwa na huyo mwanaume nawaza cjw hajuw kutongoza kwanza alikuchukulieje?
 
Bahati yako ametumia njia rahisi mshukuru M-ngu wako mpaka ukashituka mapema ugekuja kushituka imeshaliwa na huyo mwanaume nawaza cjw hajuw kutongoza kwanza alikuchukulieje?
Amemshinda shetani dada wa wenyewe..... tumpe
Aminaaaaaaa. Mungu amtie nguvu!
 
Aliondoka kazini kwake na kwenda kuandaa mazingira ya huko,.

Hakuna anayeweza kunitrace via a sreenshot,. Akijua pia its nice though sio rahisi
Umesema kuna watu wengine uliwaelekeza kwa huyo jamaa na akawasaidia,

Katika hao watu waliosaidiwa,kama kua Wanawake,jaribu kuwauliza kama alishawafanyia huo mchezo ambao wewe unahisi alitaka kukufanyia,

Majibu yao yatakupa picha kamili ya nia ya huyo jamaa.
 
Yaani umeolewa, mtu mzima unashangaa kutongozwa huu ni uzwazwa wa hali ya juu

Kaka yako ndiyo ndugu yako 🤣

Yaani nimeonana na wewe muda nikuache mie yakija mawazo ya kukukunja wala sipepesi macho

Kama hupendi kuliwa na mtu mwingine kaa na mumeo

Na usitutangaze tena mama yanu na dada yangu tu wengine wote halali yangu kuwabandua

🤣🤣🤣🤣

We nikatae tu ipo siku utakuja nakubandua hapo hapo kwa ofisi🤪🤪🤪
 
Halafu Bora angekuwa Mkweli tangu mwanzo kuwa anataka nini na sio kukuita Lodge Moja kwa Moja.

Huwa wanadhani Kila mtu ana hamu kwa huo muda ambao yeye ana hamu [emoji12].
Kumbe Huwa ni mchakato
Ni kweli ilibidi amfungukie mapema kabla mambo hayajawa mengi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…