Sema kuna muda kuwaamini wanaume ni ngumu sana

Sikuwahi kuwaza hili pia
Ndio umenifungua fikra ngoja nitawauliza🤔
 
😀😀 aisee
 
Pole Sana, Duniani Kuna Mambo
Bado Mengine Hatujayaona Tuwe Na Subira, Uvumilivu
Kama Jiwe Alivyokuwa Anavaa Pajama Halafu Saa Sita Usiku Unawatembelea Viongozi Wa Kike Wenye Waume Zao Inaleta Ukakasi
 
Domo zege lingine limetutia aibu huko nyumbani .

Mambo ya kunyoosha maelezo nakupenda ukajibiwa sikupendi au nakupenda pia ukaanza kuhudumia au kufuta namba lenyewe linataka kuleta mambo ya miaka ya sabini na wamama wavaa kanga likupange likudandie kwa lazima.

Wewe mtumishi kama upo hapa ,ukome kufanya mambo kienyeji kabisa msomi uchwara kabisa
 
Jamaa anaonekana katitaki ni m'bovu sana anategemea mashambilizi ya kustukiza,.....yani hajaonyesha interest yoyote, hajawahi kukuambia chochote yeye moja kwa moja Lodge
Na alivo fala unaweza kuta alishalipia room
Ni gubumunda kabisa Hugo kumwamba wanawake wa kufanya hivyo labda under 18
 
jamaa hajanyooka afu mshamba izo mambo za kuwafanyia videmu vya olevel,angesema nmekuelewa lee
 
Ndio acha kabisa!. Kama Mr wako yupo committed na wewe,never disappoint him anyhow. Epuka wahuni.
Hili neno kabisa ,sisi wanaume wengi maneno kama my ,kipenzi ,dear ikituita basi tunawaza ngono tu ni hapo ukiitwa tayari unaanza kuhisi umependwa kumbe ni ustaarabu wa mtu .

Sasa jichanganye utongoze kama Gudy tunapeperushwa kama upepo tunabaki kuona aibu
 
Na bado analia lia hadi kesho,. Nikipost hata status anareply kwa vilio vyake vya msamaha hivohivo
Hii ndo shida ya mwanaume kuwa na ukaribu na mwanamke ambae anakuvutia, ilhali mdada anakuona wa kawaida.

Mimi nakua na urafiki na wadada ambao muonekano wao haunivutii kwa chochote, hata akilala uchi na tupo chumba kimoja sishtuki, inasaidia mtu unakua na clear thoughts Leejay49
 
Jamaa nae alikuwa ana haraka sana.

Ilitakiwa awe mpole.
Hapo mngekutana sehemu ya wazi kama mara mbili hivi.
Halafu anaanza kukusogeza taratibuuu kama vile hataki/ au bahati mbaya.
Mkutane sehemu kama hiyo.

Wanawake wana tabia ya kumuamini mtu.
Mdogomdogo labda angebahatisha.

Kwa upande wako hongera kwa kukwepa kishawishi( ila kilikuwa chepesi)
Nawaza pia huyo mumeo akijua ulienda kukutana na njema pembezoni. Atafikiriaje,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…