Brojust
JF-Expert Member
- Sep 17, 2016
- 349
- 1,024
Salaam wakuu!
Nimeambiwa na nikaenda kwa vendor mmoja akaniambia kabisa iPhone 16 promax 1TB ni milioni sita na laki nane za kitanzania.
NB; Najua hapa kuna comment zinakuja na wataniambia "tafuta hela dogo"
Unapata wapi nguvu ya kununua simu milioni saba kasoro na huna professional yoyote ya kutumia hiyo simu zaidi ya WhatsApp, Snapchat, Facebook, Instagram na twitte [X]. Hapo kumbuka sio mtengeneza maudhui, ambao at least akiwa na hiyo simu utamuelea.
Jamani watu mnatoa wapi hela.
Nawasilisha. Ila nimeumia sana.