Picha1) Mfalme Nero
2) Mfalme Nebuchadnezzar
3) Alexander the Great
4) Adolf Hitler
Ninatamani sana kuyajua maisha ya nguli wa sayansi Sir Isaac Newton maana sayansi yake imeleta mapinduzi makubwa katika dunia hii.Salute sir, since you wished. I dare you!
Chagua chochote unachotaka niandike. And will do it.
Nishawahi kumuelezea kwenye uzi wa introvert. Since he was one of them introvertNinatamani sana kuyajua maisha ya nguli wa sayansi Sir Isaac Newton maana sayansi yake imeleta mapinduzi makubwa katika dunia hii.
Ahsante!!
Ok ngoja niutafuteNishawahi kumuelezea kwenye uzi wa introvert. Since he was one of them introvert
Usisahau NATO NZIMA INAPIGANA NA PUTIN na NATO inaelekea kushindwa.
Nimeona lakini imeelezewa kwa ufupi sana maana ni katika mifano ya kuelezea na kuwataja baadhi ya introverts ambao wamefanya makubwa natamani kuwe na thread inayomwelezea yeye tu maisha yake ya utoto, mahusiano, kusoma kwake alivyoanza kuifanya sayansi na vionjo vingine vingi kuhusu maisha yake na namna alivyoweza kusolve maswali mbalimbali ya kada yake.Nishawahi kumuelezea kwenye uzi wa introvert. Since he was one of them introvert
Wewe Ndo yule WA Kule mtandaoni X?Chagua chochote unachotaka niandike. And will do it.
Hapana mkuu. Mm sipo mtandao wa X. Unanishinda kutumia eti
Will remedy your soul sir. Inaweza isiwe leo au kesho but nitafanya. Since napenda nikiandika kitu kiwe perfect 👌 and incredible. Vumilia nitafanya hivoNimeona lakini imeelezewa kwa ufupi sana maana ni katika mifano ya kuelezea na kuwataja baadhi ya introverts ambao wamefanya makubwa natamani kuwe na thread inayomwelezea yeye tu maisha yake ya utoto, mahusiano, kusoma kwake alivyoanza kuifanya sayansi na vionjo vingine vingi kuhusu maisha yake na namna alivyoweza kusolve maswali mbalimbali ya kada yake.
Na siraha za iran zilijipeleka zenyewe urusi? North korea je?Kama Ukraine angesimama peke yake, kama ambavyo mrusi alianza kwa kusimama peke yake... Basi Ukraine hadi sasa ingekuwa ni koloni la Urusi
Soma vizuri maandishi yangu... Nimesema "Mrusi alianza kwa kusimama peke yake"Na siraha za iran zilijipeleka zenyewe urusi? North korea je?
Unaongea Kama umekatwa kichwa
Kaisari Nero Mkuu huyu ndo chinya chinya kuwahi kutokea katika hostoria ya ulimwenguNero mtoe weka Mwamba Koreshi( king Cyrus)
Amina sir!! Nitafanya hivyoWill remedy your soul sir. Inaweza isiwe leo au kesho but nitafanya. Since napenda nikiandika kitu kiwe perfect 👌 and incredible. Vumilia nitafanya hivo
Nero alikuwa mhuni kuliko wote. Alichoma Rome akawasingizia Wakristu ili awaue....1) Mfalme Nero
2) Mfalme Nebuchadnezzar
3) Alexander the Great
4) Adolf Hitler