Mfalme Nebukachadhezer, nina hasira naye, siku nimkute atajuta1) Mfalme Nero
2) Mfalme Nebuchadnezzar
3) Alexander the Great
4) Adolf Hitler
Mkuu faida ya kuchoma Moto ilikua kubwa kuliko kutokuchoma.Nero alikuwa mhuni kuliko wote. Alichoma Rome akawasingizia Wakristu ili awaue....
Program ya kuburn cd ya Nero ilichukua jina hilo sababu ya moto aliouanzisha Rome
View attachment 2976942
Logo ya programme ya Nero ina jengo la Colloseum la Rome likiungua moto kukumbushia kitendo cha mfalme Nero kuanzisha moto ulioichoma Rome
View attachment 2976945
Ni kweli labda kwa sababu pia alitaka kuijenga upya Rome kwa jinsi alivyotaka yeye.Mkuu faida ya kuchoma Moto ilikua kubwa kuliko kutokuchoma.
Na huo ndio ilikua mpango wake lakini pia akapata sababu ya kuzidi kuwakandamiza adui zake wa kikristo. So aliua ndege wawili kwa jiwe moja. Ni kama vile CCM wanavyochoma masoko yetuNi kweli labda kwa sababu pia alitaka kuijenga upya Rome kwa jinsi alivyotaka yeye.
Alijua Senete isingemkubalia kuibomoa Rome. Akaamua kutumia shortcut ya kuchoma mji wote
Kitu kingine mizaha onaharibu sana uzi.Mtu anaamua kusepa.Madhara ya kutosoma historia yamenifanya nikose cha kuchangia.
Naomba nyie wadau mueleze japo kwa ufupi hao watu mnaowataja ni akina nani na walifanya nini ili na sisi tujifunze
Napoleon ni Moja kati ya MaGeneral ambao wamekiwasha kisawasawa.Kuna Napoleon Bonaparte
Na Shaka Zulu, huyu ni mwafrika ila Dunia inamtambua
"Braza" Hitler alifeli alipoanzisha front na wazee wa vodka wakati alikua bado na front za moto na watoto wa malkia ,
Hata mageneral wake walipomshauri akawa hasikii la muadhana mwisho wake
Kwa vile mumetaja akina Nebukadneza walio kwenye maandiko, kuna huyu Muhammad nimeshangaa sana kwa mauaji aliyosababisha, jisomee mwenyewe hapa, kumbe na yeye yumo kwa waliotikisa dunia..
CC: brazaj