High Vampire
JF-Expert Member
- Nov 17, 2012
- 2,915
- 2,134
Haitakaa itokee hicho unachosema. Wewe ni mtu mwenye elimu duni unayeonea wivu waliosoma. Punguza chuki na hasira. Jipange urudi shule. Kuwachukia waliosoma ni aina mojawapo ya uchawi.
Mainjinia wajenga nyumba zako na watengeza miundo.mbinu kama Jamii Forums waliobobea kwenye uinjinia wa mitandao nao useless?Wakuu degree bongo hii degree zinatumika Kwa ufasaha ni mbili tu. Ya udokta na uwalimu hizo nyingine ni kanyaga twende tu yaani Zinakuwa kama useless.
Umesahau mashine zote za Exray nk mahospitalini mainjinia ndio huhusika zazo sio madaktari wavaa makoti meupeWakuu degree bongo hii degree zinatumika Kwa ufasaha ni mbili tu. Ya udokta na uwalimu hizo nyingine ni kanyaga twende tu yaani Zinakuwa kama useless.
Kweli una mda wakuchezea mpaka umeenda kuchungulia nyuzi zangu za huko. Kuhusu kuweka alama labda ni kuulize wewe wa 2015 na degree yako umeweka alama Gani maana mm bado najitafuta. Hivi kwahiyo katika maisha yako yote unajuaga ni darasani yaani shuleni tu ndio elimu inatolewa hujawaisikia vitu kama home schooling, table teaching, apprenticeship, on jobs training, self taught au ndio umeamua kujizima data kama kawaida yenu machawa wa lumumba.Huna degree halafu unaponda wenye degree. Wewe na hiyo elimu yako uliyo nayo kuna alama gani umeweka kwenye jamii? Usingekaa darasani ungejua kuandika hiki unachokiandika? Kama huna hela ya ada omba mchango ukasome. Au vyeti vyako vya Form four na six vina F nyingi?
au sociology😂itakuwa ya public administration.
Elimu yangu ni duni ila ya kwako duni zaidi ndio maana umekuwa chawa wa lumumbaHaitakaa itokee hicho unachosema. Wewe ni mtu mwenye elimu duni unayeonea wivu waliosoma. Punguza chuki na hasira. Jipange urudi shule. Kuwachukia waliosoma ni aina mojawapo ya uchawi.
Sasa unafikiri kurekibisha ni tatizo hata mtu asie engineer anaeweza kufanya tu.Umesahau mashine zote za Exray nk mahospitalini mainjinia ndio huhusika zazo sio madaktari wavaa makoti meupe
ebu zitaje mkuu walau 3 Main campusKuna ma degree ya kipumbavu sana pale SUA!
Huna unachojua wwYaani hizo construction zinazofanyika bongo na hiyo degree ya miaka minne haendani kabisa.
Wewe umesoma mambo ya construction Hadi ushike peni kusahihisha kuwa flyover na njia mfano za mwendokasi na reli mwendo Kasi na na viwanja vya ndege kama uwanja wa kimataifa wa Dar kuwa viko chini ya kiwango?Huna unachojua ww
Degree na engineering nivitu viwili tofauti. Hivyo vitu unavyo sema ni vitu basics sana ila Kwa kuwa wasomi na wanasiasa mmeamua ku wahadaha wananchi Kwa hizo basics hivi ngoja ni kuulize.Mainjinia wajenga nyumba zako na watengeza miundo.mbinu kama Jamii Forums waliobobea kwenye uinjinia wa mitandao nao useless?
Mainjinia wa ndege kuhakikisha unapanda ndege salama nao useless?
Mainjinia viwandani viwanda vya vyakula unakula Mchele ,unga wa mahidi nk nao useless? Mainjinia wa meli na vivuko za kwenda Zanzibar mfano nao useless?
Hivi wewe akili zimo?
Mmetapeliwa lipeni maboom tu.Huna unachojua ww
Yeah tupo weng sanaaa.Kama elimu haikupatii ujuzi wa kujiajiri, achana nayo; kuna wengine wameangukia kwenye u dj, kuuza bar, kusuka, kuwa wafanyakazi wa ndani, boda boda n.k nje ya fani walioisomea.
[emoji846][emoji846]Kama kufagia mabanda ya kuku ni degree basi mm Nina degree nyingi sana.
Yeah tupo weng sanaaa.
[emoji16][emoji16][emoji16]Kama msomi wa chuo kikuu unaandika namna hii, mleta mada hajakosea kuziponda degree.