Sema nini wakuu degree ni utapeli tu

Sema nini wakuu degree ni utapeli tu

Don't let Schooling interfere with your education...

 
Wakuu degree bongo hii degree zinatumika Kwa ufasaha ni mbili tu. Ya udokta na uwalimu hizo nyingine ni kanyaga twende tu yaani Zinakuwa kama useless.
Mainjinia wajenga nyumba zako na watengeza miundo.mbinu kama Jamii Forums waliobobea kwenye uinjinia wa mitandao nao useless?

Mainjinia wa ndege kuhakikisha unapanda ndege salama nao useless?


Mainjinia viwandani viwanda vya vyakula unakula Mchele ,unga wa mahindi nk nao useless? Mainjinia wa meli na vivuko za kwenda Zanzibar mfano nao useless?

Hivi wewe akili zimo?
 
Wakuu degree bongo hii degree zinatumika Kwa ufasaha ni mbili tu. Ya udokta na uwalimu hizo nyingine ni kanyaga twende tu yaani Zinakuwa kama useless.
Umesahau mashine zote za Exray nk mahospitalini mainjinia ndio huhusika zazo sio madaktari wavaa makoti meupe
 
Huna degree halafu unaponda wenye degree. Wewe na hiyo elimu yako uliyo nayo kuna alama gani umeweka kwenye jamii? Usingekaa darasani ungejua kuandika hiki unachokiandika? Kama huna hela ya ada omba mchango ukasome. Au vyeti vyako vya Form four na six vina F nyingi?
Kweli una mda wakuchezea mpaka umeenda kuchungulia nyuzi zangu za huko. Kuhusu kuweka alama labda ni kuulize wewe wa 2015 na degree yako umeweka alama Gani maana mm bado najitafuta. Hivi kwahiyo katika maisha yako yote unajuaga ni darasani yaani shuleni tu ndio elimu inatolewa hujawaisikia vitu kama home schooling, table teaching, apprenticeship, on jobs training, self taught au ndio umeamua kujizima data kama kawaida yenu machawa wa lumumba.
 
Haitakaa itokee hicho unachosema. Wewe ni mtu mwenye elimu duni unayeonea wivu waliosoma. Punguza chuki na hasira. Jipange urudi shule. Kuwachukia waliosoma ni aina mojawapo ya uchawi.
Elimu yangu ni duni ila ya kwako duni zaidi ndio maana umekuwa chawa wa lumumba
 
Huna unachojua ww
Wewe umesoma mambo ya construction Hadi ushike peni kusahihisha kuwa flyover na njia mfano za mwendokasi na reli mwendo Kasi na na viwanja vya ndege kama uwanja wa kimataifa wa Dar kuwa viko chini ya kiwango?
 
Mainjinia wajenga nyumba zako na watengeza miundo.mbinu kama Jamii Forums waliobobea kwenye uinjinia wa mitandao nao useless?

Mainjinia wa ndege kuhakikisha unapanda ndege salama nao useless?


Mainjinia viwandani viwanda vya vyakula unakula Mchele ,unga wa mahidi nk nao useless? Mainjinia wa meli na vivuko za kwenda Zanzibar mfano nao useless?

Hivi wewe akili zimo?
Degree na engineering nivitu viwili tofauti. Hivyo vitu unavyo sema ni vitu basics sana ila Kwa kuwa wasomi na wanasiasa mmeamua ku wahadaha wananchi Kwa hizo basics hivi ngoja ni kuulize.

Bongo mainjia wa miaka minne ya darasani Wanafanya haya

Wanarepair Ndege.
Wanajenga Nyumba
Wanatengeneza vivuko
Wanafungua garage
Wanafuma umeme
Sijui mtandao.

Ila mainjinia wa magharibi wamiaka hiyo wenye elimu za kawaida walifanya.

Wright brothers ( high school dropper) walibuni ndege

John smelton (high school + self taught) engineer wa kwanza wa ujenzi, mgunduzi wa Portland cement

Yule jamaa na wenzie ( apprenticeship) alibuni na kutengeneza titanic

Henry Ford ( apprenticeship) alifanya mapinduzi ya magari

Thomas Edison ( self taught) alivumbua vitu vingi vya umeme.

Hivi Mimi na wewe nani ambae hazimo?
 
Tatizo sio degree

Kuna sababu nyingi za kupinga au kuunga hoja mada yako.

Tambua ya kwamba kila discipline ina taratibu zake.

Natolea mfano kwenye Engineering discipline.

Kuwa Engineer haimaanishi lazima ubuni au ufanye mambo makubwa sanaaa.

bali kusimamia na kutekeleza yale uliyobobea kwa ufasaha, ukiona kuna kona kona nyingi kwenye ufasaha hapo ndio tunasema huyu engineer wa mchongo.

Kwa mfano miradi ya umeme unayoona inatekelezwa kila kitu kimezalishwa na manufacturer kuanzia cables, na mitambo yote itakayotumika.

kazi ya Engineer itakua kutafsiri na kuelewa kile ambacho kimekusudiwa kulingana na taaluma aliyofunzwa.

Anatafsiri nini?

Manufacturer atamwambia hii cable ina uwezo wa kubeba mkondo wa umeme kiasi hiki, na ufungwaji wake uwe wa namna hii kulingana na testing zilizofanywa na mtengenezaji.

Kwa elimu aliyopata ya engineer ni rahisi zaidi kutekeleza maelekezo ya mzalishaji kuliko mtu asie na taaluma husika kwasababu kuna mambo mengi engineer amajifunza darasani yanayoendana na anachokifanya kwa wakati husika.

Hivyo hivyo kwa taaluma zingine iwe sheria, afya na mengineyo mengi.

Kwa hiyo mtu abezwe kwa ufanisi wake sio alichosomea.
 
Back
Top Bottom