Sema nini wakuu degree ni utapeli tu

Hata iyo ya form four haihitajiki kwenye kutawala maisha elimu ya kujongea na kongea tu inatosha
Umemaliza,,, hata udakitar hauhitaji kusomewa miaka 18 upo shule,,,, kama unajua kusoma na kuandika kiswahili na kingereza miaka miwili inatosha
 
Nilikuwa namwelewesha huyo anayesema form four tu inatosha degree Haina maana
 
Umeandika upambavu,, unafikiri wote mliopitia chuo cha kati mna kazi? Mbona wapo walioenda six na ni wahindisi na wanamishahara mirefu kuliko nyie
 
Mbona law hujaitaja?
Law ni utapeli wa degree mwingine ngoja nikwambie wenzako wanatoboa vipi kwenye law wanaingia kwenye siasa wanakuwa na kazi tofaut na hiyo waliosomea siku wakisikia imetangazwa ndo wanaingizwa kirahis ila freshers kutoka vyuon ni kazi bure hata wakipata ni kwa uchache mpaka wale wa kwenye system yao kama wanapelea
 
Mwambie dogo aachane na huo ujinga anaenda kupoteza muda tu Bora amsaidie Mama yake kukuza biashara yake ya mgahawa hizo Pesa anazoenda kukopa amsomeshee aongezee kwenye mtaji aendelee na biashara yake sio kwenda kuifuata degree isiyokua na manufaa yoyote
 
🤣🤣🤣 ila watu mnachekesha "hakuna mhandisi asiyekosa kazi" hauna ndugu au marafiki uwapeleke uhandisi wapate kazi? Usifikiri sisi watoto bwana tunaelewa tu mainjinia wengi huku mtaani na wameamua kuwa mainjinia wa kupanga kucha rangi
i
inategemea chuochakati umeenda kujifunza nini.hakuna mhandisi anaekosa kazi.
 
Hata engineering yenyewe ni kizungumkuti huwezi somesha electrical engineer hafu anakuja kufanya wiring. Au mechanical engineer anakuja kufungua gerage na civil engineer anakuja kua mchora ramani.
Sasa kwani kazi za wiring sio kazi kwa Muhandisi wa umeme ? Wewe ulitaka afanye kazi gani ?
 
Duh!!!!.....
 
Naunga mkono hoja.
 
Huna akili huko UN unaenda kuhutubia kuhusiana na marekani ambalo ndo takwa la UN kuendeleza mataifa makubwa huku ya chini yananyonywa huyo mzee aliendelea kwa sababu hakukubali kuwa kibaraka kama nyerere

Nikuulize kitu mababu zetu na sisi tuliopo saizi ni akina nani waliokubali kutawaliwa?

Hivi sisi tumepata uhuru think beyond nyerere aliwadanganya alikuwa anatumwa aongee hivo ili wafanikishe kuswitch utawala mpya tofauti na zaman
 
Kuhutubia UN kutamsaidia nini kishimba?
 
Kwanza hata walichokisomea hakitumiki.....ni kazi ambayo mtu wa kawaida anaweza fanya.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…