Yaani mambo mengine ya aibu na yanakera sana baasi tuKutangaza idadi ya watu mpaka pawepo na misafara ya v-8 wakati uswahili maji hayatoki bombani, hizo pesa wanazochezea wangekuwa wanazitumia hata kuchimba visima ningewaona wa maana, wao wanawaza anasa tu.
Utapewa jina Baya lakini ukweli utabaki ukweli. Nilishangaa suala la Lishe kufanywa agenda kubwa wakati cha maana tulichoelezwa kinajulikana siku nyingi. Kuleni Kuku, mayai, mboga, samaki, maziwa. Msile nafaka zilizokobolewa Kwa wingi,
Hili Tu mpaka tutangaziwe na Rais na watu wakaambiwe Dodoma.
Teacher hujahudhuria?Yaani mambo mengine ya aibu na yanakera sana baasi tu
Ndo tupo kama Mazuzu Sasa.Rais nchi hii ni sawa na demigod
Comment yako inaniuma kama mtanzania halisi, perdiem imepigwa ya kutosha bila sababuYaani kutangaza tu idadi, mpaka budget.Hii nchi bwana. Miaka kumi ijayo tutakuwa million 100 . Maweeeee kwa huduma zipi za jamii?
Kwanini ulienda?Nawasalimu kwà jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania!
Asee huku sio poa kabisa. Nipo uwanjani hapa, jua kali kinoma, sauti ndogo, bora nitoke nikatizame kwenye Tv
Naamini kwenye tv mtakua mnaenjoy sana.
Au wangejifungia ikulu yoyote ile Dar au Chamwino kama wanavyofanyaga wakati wanapeana ulaji(kuapishana) na wakatuacha walala hoi tuendelee kuwakusanyia Kodi,tozo na pesa ya kununulia asali yao.Hivi angeitisha tu Press conference pale Ikulu kwa ajili ya kuutangazia umma kilichomo kwenye taarifa ya sensa akiambatana na maafisa wawili watatu wa takwimu na Msemaji wa ikulu KUNGEKUWA NA SHIDA GANI...
Equal patners kwenye muungano ni Million na point.Kumbe wazanzibari ni milioni tu!
Mkuu lakini si wajua serikali ina vitengo vingi.Mimi nimetoa mfano wa mapambo Kama kampuni moja Tu hapo kwenye event....but kutakuwa na kampuni nyingi tofauti zinaipwa Kwa kila event...
Asilimia 32Sio haba, nguvu kazi tunayo ya kutosha.
sasa tupange maendeleo.
kutoka mwaka 2012 hadi 2022 kuna ongezeko la watu 16, 812,197 sawa na 3.2%