Sensa 2022: Tanzania ina idadi ya watu 61,741,120

Yaani kutangaza tu idadi, mpaka budget.Hii nchi bwana. Miaka kumi ijayo tutakuwa million 100 . Maweeeee kwa huduma zipi za jamii ????
Umekosea

Watu milioni 100+ itakuwa 2050
 
Rais kadanganywa kwenye namba Jumla ni 61,741,130 na sio 61,741,120

Yaleyale ya Makamba!
 
Rais kadanganywa kwenye namba Jumla ni 61,741,130 na sio 61,741,120

Yaleyale ya Makamba!
Wewe hiyo ya kwako imeipata wapi? Kwani hiyo tofauti ina impact youote au ?
 
Hizi takwimu zetu daah😡. nilitarajia tuwe zaiidi ya m65 hapa wordometer data ya 2020 inasema tuko 63M. something is wrong somewhere
 

Attachments

  • Screenshot_20221031_125729.png
    145.2 KB · Views: 3
Next time hakuna sababu ya kufanya zoezi la sensa kwa mabilioni ya pesa na kuja kufanya sherehe kwa sababu mifumo ipo na ifanye Kazi..

Mfano projections ya NBS na actual figures imetofautiana kwa 400k tuu..

Sasa kama tuna accuracy ya kiwango hicho kwenye projections kuna haja gani ya kutumia mabilioni ya pesa? πŸ‘‡
 

Attachments

  • Screenshot_20221031-123920.png
    221.2 KB · Views: 3
Hizi takwimu zetu daah😡. nilitarajia tuwe zaiidi ya m65 hapa wordometer data ya 2020 inasema tuko 63M. something is wrong somewhere
Zetu ndio sahihi sasa,hao worldometer ndio wanatakiwa kuleta uthibitisho wa Takwimu zao.
 
Keleuwiiiiiii!! Eti hii nchi ina sekondari 5800 😭😭😭😭😭😭 vyuo sijajua lakini tumekwama kwakweli?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…