Dr hyperkid
JF-Expert Member
- Jun 7, 2019
- 12,679
- 25,646
Sasa chadema wanapinga nini
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
😅😅 sensa imedanganya.. kitu laki mbiliSeriously?
All is Rubbish!Ni jambo jema
😂😂 Fanya uje utembelee huku kisiwani! Sidhani ka utashindwa kuhesabu watu laki mbili..😅😅 sensa imedanganya.. kitu laki mbili
Itabidi nije mkuu😀😂😂 Fanya uje utembelee huku kisiwani! Sidhani ka utashindwa kuhesabu watu laki mbili..
Ina wakaazi 271,350Kusini Pemba ina wakazi wangapi?
Dar ina watu 5.3ml majimbo ni 10kwa kweli inasikitisha sana. Yaani serikali ya mtaa bara ni jimbo la uchaguzi zanzibar lina mwakilishi na mbunge wa JMT
Kuna muhuni kanambia 27,000. Bila shaka alichanganya hiyo 271k na 27k.Ina wakaazi 271,350
Hakuna sehemu serikali imesema watu watakuwa milioni 150Mada imeandikwa kuwa mwaka 2025 watu watakuwa 67m hiyo ni ongezeko la watu 6m kutoka idadi ya leo. Sasa itakuaje kwa miaka 25 (2025-2050) watu waongezeke kwa 60m wakati kwa miaka 10 (2012-2022) watu wameongezeka sio zaidi ya 12m.?
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan akitangaza Matokeo ya Sensa na Watu na Makazi ya Mwaka 2022 katika Uwanja wa Jamhuri Jijini Dodoma leo tarehe 31 Oktoba, 2022
Samia Suhuhu Hassan - Rais
Nataka niitangazie dunia kuwa Sensa ya watu na makazi ya 2022 imefuata vigezo vilivyowekwa na umoja wa mataifa.
Tumeandika historia kwa mara ya kwanza tangu tupate uhuru, tumeweza kupata idadi ya majengo yote pamoja na anwani za makazi.
Leo hii tumefika ukingoni mwa zoezi la sensa tulilofanya kwa ufanisi mkubwa. Sensa hii imefuata vigezo vyote vya kimataifa.
Kwa mamlaka niliyopewa na katiba ya JMT ya mwaka 1977, nawatangazia kuwa Tanzania ina idadi ya watu 61,741,120.
Watu 59,851,347 wapo Tanzanzia bara na 1,889,773 Tanzania zanzibar.
Wanawake wapo 31,687,990 sawa na asilimia 51 ya watu wote na wanaume ni 30,530,130 sawa na asilimia 49 ya watu wote.
Kati ya mwaka 2012 hadi 2022, ongezeko la watu ni 19,812,197 sawa na asilimia 3.2
Tanzania bara, mkoa wa DSM unaongoza kwa watu nchini, wapo 5,383,728 sawa na asilimia 8.7 ya watu wote nchini, na mkoa wa pili ni mwanza wenye wakazi 3,696,872 sawa na asilimia 6.
Idadi ya mejengo ni 14,348,372 ambapo Tanzania bara yapo 13,907,951 na Zanzibar yapo 440,421
Vituo vya kutolea huduma za afya vipo 10067 ambapo zahanati zipo 7889, vituo vya afya 1490 na hospitali 688.
Upande wa shule, zipo 25,626 ambapo shule za msingi zipo 19,769 na shule za sekondari zipo 5857
Makadirio yanaonesha kuwa hadi kufikia mwaka 2025 Tanzania itakuwa na watu 67,962,097 na hadi kufikia mwaka 2050 idadi itafikia 151,252,429.
Asanteni kwa kunisikiliza, Mungu aibariki nchi yetu, Mungu aibariki Afrika. Asanteni sana kwa kunisikiliza.
Mada imesema kwa makadirio mwaka 2050 watu watakuwa 151mHakuna sehemu serikali imesema watu watakuwa milioni 150
Bora umewambia kuna watu wanadhani hela zinapatikana mtaani kutoka mbinguni,hawajui kuwa serikali isipo spend hela hata mtaani zitakosekana.Huko unakoita kufuja pesa nako kunachochea uchumi.
Imagine wewe Leo ingekuwa kampuni yako inalipwa kutokana na mapambo Tu ya event husika, ungesema kuna ufujaji? serikali ikitumia hela zinarudi Kwa wananchi...ni Bora government spending kuliko kubana bana matumizi kupita kiasi
Hujui kusoma nyie machawa wa ccm ......Sio kwamba miladi ayo kazingua? Rais alitamka mil.1.8 kwa Zanzibar na Mkoa wenye watu wengi ulikuwa laki 8..
Wewe hizi Takwimu zako umezitoa wapi?
Wazanzibar wote duniani hawafiki 2milImeandikwa milioni nane, si laki nane.
Siamini kama nchi yote ya Zanzibar inafikisha wakazi milioni tano
.
Bora umewambia kuna watu wanadhani hela zinapatikana mtaani kutoka mbinguni,hawajui kuwa serikali isipo spend hela hata mtaani zitakosekana.
Yamekuja magari ya bure kwenda nimesema siendi kokote mmelala miyeeeTeacher hujahudhuria?
Duuh hadi magari yalitumwa!Yamekuja magari ya bure kwenda nimesema siendi kokote mmelala miyeee