Sentensi bora kumtongoza mwanamke!

Yaani wewe unaonekana school ulikuwa unamaliza pamphlets
 
DJK786TMNO IMETHIBITISHWA UMEPOKEA TSH,100,000 KUTOKA KWA....

kama dk mbili tu nikaambiwa, 'baby i love you nimekumiss sana njoo bhana sasa hivi',,
 
DJK786TMNO IMETHIBITISHWA UMEPOKEA TSH,100,000 KUTOKA KWA....

kama dk mbili tu nikaambiwa, 'baby i love you nimekumiss sana njoo bhana sasa hivi',,
Hahaha umeua mkuu[emoji23] [emoji23]
 
Reactions: CTX
Moyo wangu umekudondokea,, njoo tuunganishe makojoleo!
Umenikumbusha mwl wangu wa o-lever alipenda sana kutumia huu mstari kutuonya tuache kuwadanganya mabinti wa watu kwa kuwaambia moyo wangu umekudondokea.
 
[emoji122] [emoji122] [emoji122]
Kwa hiii hachomoi mtu
 
Dah.... Hapa lazima akubali....
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] huyu naaamini upo ndoani nae kwa miaka kadhaa, sio kwa visawe hivi
 
hakuna powerful statement wakati wa kumtongoza mwanamke kama kumuahidi utamuoa (ndoa)...jaribu hii mbinu utanambia..lakini wakati unadondosha mstari huu lazima ujivalishe sura ya kumaanisha,sio ile mpk anajua kbs kama unamzuga. eg.

"Dada sio siri umenivutia sana,na ni muda sasa nimekuwa nikimtafuta mwanamke ambae nitaanzisha nae uhusiano ambao ni serious,nazani wewe ni mtu sahihi kwa ajili hiyo, kwani nimeanza kuzifuatilia nyendo zako kwa muda sasa na nimejiridhisha hakika kwamba unafaa kuwa mke bora...Kiufupi nataka kukuoa na utaponikubalia tu,basi baada ya muda mfupi jiandaeni kupokea wageni/washenga nyumbani kwenu ili kuja kutimiza azma yangu hii."

Wallahi kama utayasema haya ukiwa serious,kama hajakujibu siku hiyo hiyo positively basi haimalizi wiki atakutafuta na kukupa jibu zuri hapo baada ya kuenda kujifikiria kidogo,maana hawa wana mila yao ile ya kike yaani Lazima kuringa kidogo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…