Nimevutiwa na kufurahishwa na haiba yako ya kimalkia,unaonekana u mwanamke unaejiheshimu na kujali,kujitambua kwako kunakupa thamani zaid na tunu ya kuheshimiwa,nimeona unavyowajali wale watoto nikapata hisia je wangekua wakwako ungekuaje?unafaa kua mke,nahis kila MTU anataman kua na mke anaejal kama wewe,maadamu ktk nafs yangu naheshimu watu wiwili tu ktk hii dunia,mama mzaz alkenibeba na mke atakaekuja kua kama mama yang kwa upendo alionionyesha,wewe unakila dalili ya kua kama yeye,naomba hyo nafss nawe nikufanye malkia ktk ulimwengu huu...
Asee Leo tuna miaka tano ya ndoa....