Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Usishangae kesho kusikia amesaini mkataba Azam fc. Muda utaongeaAzam naona wanafanya mapinduzi makubwa kwenye timu yao
Nilianza kumdharau sana kwa kuacha kazi Simba sababu ya Morrison, alafu kampokea utopolo
Afisa Mtendaji Mkuu wa Yanga, Bw Senzo Mazingiza ameomba kutokuongezewa mkataba wake na Yanga kwa sababu za kifamilia
Kutokana na ombi hilo kamati ya utendaji ya Yanga ilikutana leo katika Hotel ya Serena na kukubali ombi hilo la Bw Senzo
Mkataba wa Senzo na Yanga unamalizika tarehe 31/07/2022
Yanga yamteua Wakili Simon Patrick kuwa Afisa Mtendaji Mkuu wa Mpito
Kipindi ana kuja ml Senzo anacheza number ngapi sasa hivi mtabadili giaMorrison alivyokuja Yanga nahisi ndio sababu ya Rasta kusepa
Wabongo hua mnajua kila kitu umesikia wapi mshahara wa mtu?Pengine yanga wamemleta Morrison kimkatakt ili kumtoa senzo kwa akili pia mnk nasikiaa pia anabeba mshahra mkubwa
Alikuwa anawaambia Uongozi wa Yanga tumdhibiti huyu lopolopo majabu wao ndio wanamkumbatia toka akiwa Simba alisema huyu anaharibu image ya timu kwa matusi yale ya lopolopo ulitegemea Senzo atabaki na majuha wa pale Utopolo😹😹😹 kamkimbia kunuka kinyesi
Ila mpira wa kibongo kama ukiwa na uweledi mkubwa ni ngumu sasa kidumu kwenye hizi club kubwa tunapenda ujanja ambao hautusaidii.
Afisa Mtendaji Mkuu wa Yanga, Bw Senzo Mazingiza ameomba kutokuongezewa mkataba wake na Yanga kwa sababu za kifamilia
Kutokana na ombi hilo kamati ya utendaji ya Yanga ilikutana leo katika Hotel ya Serena na kukubali ombi hilo la Bw Senzo
Mkataba wa Senzo na Yanga unamalizika tarehe 31/07/2022
Yanga yamteua Wakili Simon Patrick kuwa Afisa Mtendaji Mkuu wa Mpito
Manara hajamtimua Senzo, kama kawaida ukiona hivyo kuna viongozi mambo yao hayaendi.Alikuwa anawaambia Uongozi wa Yanga tumdhibiti huyu lopolopo majabu wao ndio wanamkumbatia toka akiwa Simba alisema huyu anaharibu image ya timu kwa matusi yale ya lopolopo ulitegemea Senzo atabaki na majuha wa pale Utopolo
Leo Senzo amekua mzuri? hivi nyie hio mimba ya kiherehere mtazaa lini?Alikuwa anawaambia Uongozi wa Yanga tumdhibiti huyu lopolopo majabu wao ndio wanamkumbatia toka akiwa Simba alisema huyu anaharibu image ya timu kwa matusi yale ya lopolopo ulitegemea Senzo atabaki na majuha wa pale Utopolo
Soma maelezo uelewe sio kukurupukaHii tarehe tu ni ya wapi