JAYJAY
JF-Expert Member
- Oct 31, 2008
- 8,191
- 8,490
SportPesa wapo kabla ya Senzo. Azam wapo kabla ya Senzo. Taja vyanzo vipya vya mapato alivyochangia Senzo kuviketa nje ya vile vya GSM.Ametutoa mbali sana.
Leo hii tusingefikia "Mabadiliko kamili ya uendeshaji wa klabu bila yeye"
Amekuja amekuta klabu ikiwa na mapato ya mwaka Bil 1.8.
Anaondoka akiwaacha wanajangwani wakiwa na vyanzo vya mapato vya mwaka vyenye thamani ya Bil 9.9
Actually Senzo ameshindwa kuvumilia kuwa pale Yanga Kama kinyago huku maamuzi yakifanywa na wengine wenye Pesa yaani gsm.
Ni kama alivyoondoka pale Simba. Huwezi kukubali kuwa club CEO huku huna "say" ya aina yoyote kwenye mipango ya uendeshaji wa club. Ni kuifuja thamani yako. Au kula mshahara wa bure bila kuufanyia kazi Ni wabongo tu ndio tunaweza.