Senzo aomba kutokuongezewa mkataba wake na Yanga, Akubaliwa ombi lake

Mbona Mabalaa Yanaiandama Yanga Hata Ubingwa unakuwa hauna Raha..!

Mara Kinyesi, Mara Pakti Ya Embasi Na Vilipuzi kiberiti cha gesi vimeonekana Uwanjani, Mara Jezi Bw.Ngowi kazichakachua...hee Sasa Senzo anampisha Wakili Msomi...! Kunani?
 
Yaan Senzo ashukiru mungu Haji yupo.lupangoo ya soka sijui kama angekuwa yupo ange mrushia maneno ya shombo kwa kiasi gani
 
Hivi jambo kama hilo hawawezi kukutana ofisi za chama?Mpaka waende Serena kumkubalia ombi lake?🤣
 
Alikuwa anawaambia Uongozi wa Yanga tumdhibiti huyu lopolopo majabu wao ndio wanamkumbatia toka akiwa Simba alisema huyu anaharibu image ya timu kwa matusi yale ya lopolopo ulitegemea Senzo atabaki na majuha wa pale Utopolo
Image ipi ameharibu ,toka Manara afike kampuni zimefurahia Yanga Afrika mikataba mikubwa imesainiwa,washabiki wanafurika kwenye shughuli za Yanga na mataji Kama yote.jezi zinagomambaniwa unataka Nini zaidi?
Muulize chuplichupli Kama ameweka mzigo wa bilioni 20 hati ya umiliki hisa 49%tumemkabidhi na safu ya uongozi amepanga yeye.mwenyekiti Hana meno amebaki kufungua na kufunga vikao
 
Manara anasema ukimtoa kikwete na baba ake mashabiki wa yanga waliobaki hawana akili unadhani alikosea kusema hivyo
Angalia huyu mtoto wa utopolo hapa tunajadili senzo kuondoka yeye anasema bilion 20 zipo wapi ?
Unadhani mzungu pori alikosea kusema mashabiki wa utopolo mliobaki hamna akili?
 
Manara hajamtimua Senzo, kama kawaida ukiona hivyo kuna viongozi mambo yao hayaendi.

We unazani Kassim Dewji zile kelele anazipiga unazani kaonewa ila ukichimbua kuna mambo yake haya endi, we subiria tutasikia chanzo ila nina uhakika sio Manara.
Yawwzekana
 
Leo Senzo amekua mzuri? hivi nyie hio mimba ya kiherehere mtazaa lini?

Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
Ujinga wa mtu unategemea watu anaowazunguka ukichukia wajinga 10 ukawapa mtihani utapata wa kwanza mpk wa mwisho
Simba kwa tulipofika hatuwezi kumchukuwa kiongozi aliyefukuzwa Yanga ili kuwafurahisha mashabiki ila Yanga wanaweza mm nilijua Senzo amechukuliwa na Yanga ili kama kuwakomoa Simba na kuwafurahisha mashabiki ila sio kwa ajili ya mikakati ya timu ulitegemea angebaki?
Huo ndio ujinga wa utopolo wanachukuwa mizoga iliyoachwa na Simba hamna tofauti na fisi maji nyie
 
Hasira za nini mama?

Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
 
Kila la kheri kwake, kaleta mageuzi ya kiongozi kwa vilabu vyetu vilivyozoea kujiendesha kiholela...
 
SENZO BYE BYE YANGA AFRIKA 🚨
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…