Senzo aomba kutokuongezewa mkataba wake na Yanga, Akubaliwa ombi lake

Ametutoa mbali sana.

Leo hii tusingefikia "Mabadiliko kamili ya uendeshaji wa klabu bila yeye"

Amekuja amekuta klabu ikiwa na mapato ya mwaka Bil 1.8.

Anaondoka akiwaacha wanajangwani wakiwa na vyanzo vya mapato vya mwaka vyenye thamani ya Bil 9.9
SportPesa wapo kabla ya Senzo. Azam wapo kabla ya Senzo. Taja vyanzo vipya vya mapato alivyochangia Senzo kuviketa nje ya vile vya GSM.

Actually Senzo ameshindwa kuvumilia kuwa pale Yanga Kama kinyago huku maamuzi yakifanywa na wengine wenye Pesa yaani gsm.

Ni kama alivyoondoka pale Simba. Huwezi kukubali kuwa club CEO huku huna "say" ya aina yoyote kwenye mipango ya uendeshaji wa club. Ni kuifuja thamani yako. Au kula mshahara wa bure bila kuufanyia kazi Ni wabongo tu ndio tunaweza.
 
Kwahiyo kwa akili zako ndogo, mikataba na madili yaliyopatikana Yanga Sc ni kwa upeo wa Manara?

Kwa elimu gani aliyonayo yule?
 
Amewasaidia utopolon wame pata deal la 4B per yr, + deal la azam tv
Kuna madai yanasema Senzo hajataka ufisadi wa mchana kweupe. Dili ya SportPesa Ni bilioni 3 ndiyo inakuja club. Hiyo moja inaenda wapi!? Kakataa kuwa sehemu ya ufisadi.
 
Manara hakukosea kusema "pale utopolo wenye akili wawili tu". Wewe ndio umethibitisha kabisa kuwa Hilo bichwa lako limejaa kamasi tu.
 
Utopolo fasta wakatengeneza cheo Feki Cha CEO ili kumu_accomodate Bwana Senzo. Ila muda Ni mwalimu mzuri, tumeona kilichotokea.
 
Nampongeza Senzo kwa Kuishi Tanzania,Kujifunza na Kuongea Kiswahili,anaenda kuwa balozi mzuri wa Kukitangaza Kiswahili.

Tanzania tupo vizuri, mpaka sasa ukiondoa Afrika kusini na nchi za Kaskazini(waarabu) sisi ni kimbilio la wachezaji wa mpira wa mogul kutoka nchi jirani,na zingine za afrika.

Ombi kwa waandishi wa habari, mkipata fursa ya kufanya mahijiano na Senzo muulize ametumia njia gani kujifunza,kujua na kuongea kiswahili.
 
Kama nabi akidumu msimu huu niiteni zumaridi...hakuna mzungu mwenye akili anaweza fanya kazi na manara na mori mori
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…