Basi tuseme upenzi na hela.sidhani kama flagships ni za watu wenye hela pekee.. Ila nahisi ni watu wenye upenzi na simu husika.. Angalia hizi iphone hadi watoto wachuao wanazo tena unakuana nazo latest na wapo walio na hela wanatumia opo
Upo sahihi mkuu flagships ni exclusive.. Ila nsio ivyo kuna upenzi watu wanazichukuaBasi tuseme upenzi na hela.
Hata huko mbelez kununua flagship ni wachache wanao-afford.
Ngoja tuoneUsd 700 umezitolea wapi mkuu?, ninachojua ni kwanzia usd 999-1099, kwa Pro na Pro max
Kuna mtu nilimwambia iphone 14 ni 700$ akabisha nahisi ni National AnthemNgoja tuoneView attachment 2350115
Migombani street mikocheni ipo, mlimani city ila naona jamaa wa pale kama janja janja mingi kama duka la ki. KooHivi hapa bongo kuna authorized apple reseller where i can trade in simu niliyonunua USA? Achana na wale wa Mwenge na Makumbusho.
Hapana sio mimi, hiyo pia ni kawaida bei reasonable kabisa, macho maiwli ndogo ile alafu kuna macho mawili kubwaKuna mtu nilimwambia iphone 14 ni 700$ akabisha nahisi ni National Anthem
Usd 700 & 799 ni the same figure eeh, kazi kwelikweliKuna mtu nilimwambia iphone 14 ni 700$ akabisha nahisi ni National Anthem
Lakini unaunua simu ya 2.5 unazalisha au show off! Mie mwenyewe huenda nikatoka kwenye huo utumwa wa hizo simu za bei.. Simu ya laki tisa ina kila kitu nahitaji2.5 ml ni bei ya kawaida sana wengi hawashindwi kuafford ila ni ile ego kwamba bora ninunue tofali au kiwanja!
Hapana nasema kuna watu wananunua for show off lakini hazina tija kwao. Tuna manunuzi ya vitu visivyo na ulazimaKama cjakuelewa hivi, unasema huwezi nunua simu ya 2.5 ml?
Hizi simu zinaweza kukufanya mjinga,nikikumbuka miaka 3 iliopita watu walikua wananunua samsung s10+ usd 600 nachoka kabisaKuna mtu nilimwambia iphone 14 ni 700$ akabisha nahisi ni National Anthem
mwanzo nikajua litakaa tu kama chunusi🤣🤣kweli team yao ya ubunifu imeonyesha ukomavu wa akili.Dynamic island,wametisha sana ile michezo ya kwenye pill pale
yah kuna kasauti tu kanakufokea kimya kimya kwamba unatembeaje na simu ambayo ni sawa na tofali 2500??basi unajikuta unakosa ujasiri wa kwenda dukani unabeba zako infinix la laki na 80 unaunga wasap🤣🤣🤣2.5 ml ni bei ya kawaida sana wengi hawashindwi kuafford ila ni ile ego kwamba bora ninunue tofali au kiwanja!
Upo sawa kabisa mkuu, nimenunua karibia kila aina ya simu, mwisho wa siku nikaona sipo sawa, kuna function muhimu nikizipaga hata simu ya laki tano inatoshaHizi simu zinaweza kukufanya mjinga,nikikumbuka miaka 3 iliopita watu walikua wananunua samsung 10+ usd 600 nachoka kabisa
Constraint ni hela na choices tu mkuu,yah kuna kasauti tu kanakufokea kimya kimya kwamba unatembeaje na simu ambayo ni sawa na tofali 2500??basi unajikuta unakosa ujasiri wa kwenda dukani unabeba zako infinix la laki na 80 unaunga wasap🤣🤣🤣
Haha mkuu kwamba philadelphia umeona ndio mji wenye watu wenye shida sana kuliko miji yote ya kuleWapo kweli ambao hata kula yao ni shida [emoji817] correct haswa kule Philadelphia!
Nadhani hakutakua na mabadiliko makubwa ya design na feutures mpya ukilinganisha na Iphone 13, wanaweza kuweka chipset kubwa zaidi na Ram kubwa zaidi, ila kama kawaida wafungwa wa iphone watazinunua kama zote.