Septemba 07, 2022 ndiyo iPhone 14 inazinduliwa. Wapenzi wa iPhone tukutane hapa kujuzana prices and specs

[emoji23] Wanaweka running costs zao kwenda kufata mzigo bado walipie kodi na bado walipie tozo!
Ila hua wanaongeza Sana ili wapate super profit mbona Kenya Bei afadhali kidogo. We ngoja zitue Bongo utaona hiyo iPhone 14 itauzwa million 2 ambayo ni karibu Dola 1000 hiyo iPhone 14 pro itauzwa million 3 na kitu.

Hua najiuliza sipati jibu
 
Unaeza kufanya preorder na ukaletewa mzigo kwa bei nafuu!
Ila hua wanaongeza Sana ili wapate super profit mbona Kenya Bei afadhali kidogo. We ngoja zitue Bongo utaona hiyo iPhone 14 itauzwa million 2 ambayo ni karibu Dola 1000 hiyo iPhone 14 pro itauzwa million 3 na kitu.

Hua najiuliza sipati jibu
 
Iphone 14 haija trend naona haiongelew kabisa simu ni ileile kama iphone13 walichobadilisha kwenye 14pro ni notch na labda na hio satelite, photonic engine, proRAW Camera, A16 Bionic chip.

Sijaona mpya kwenye hii simu sidhan kama itafanya vzr kama iphone12 & 13. Kwenye mitandao zamn kama leo iphone inatrend ila kwa hii 14 wamezingua sana.
Ni vile tu wabongo wengi hawana kazi na hzi simu zaid ya kuuza sura tu, iphone 14 pro na pro max zimefanyiwa massive upgrade sana,inakuja na Action mode, Dolby video , improved cinematic mode,pro Raw,A16 Bionic, dynamic island,photonic engine, Highest Peak Nits mpaka 2000 na HDR hadi 1600, hatujaona hii nits kweny simu yyte bado,hata hyo satellite SOS imekua improved zaid ya ile ya kweny P50 , Lakini bado mtu anakwambia ni sawa na iphone 13 tu
 
Kwa tech ilipofika sasa, usitegemee masive change kwenye hizi simu.

Iwe iphone au android. Sahivi wana deal na small changes kwa next model.
Big NO watu wana prototype za simu zinazopungua nakuongezeka ukubwa kutokana na uhitaji, lakini saivi tunasmart zakufold i.e ambazo Huawei na Samsung wameshaimaster technology. R&D wa apple wanakazi yakufanya zaidi ya kuwashika masikio watumiaji wao.
images.jpeg-1.jpg

images.jpeg-2.jpg
 
Ni vile tu wabongo wengi hawana kazi na hzi simu zaid ya kuuza sura tu, iphone 14 pro na pro max zimefanyiwa massive upgrade sana,inakuja na Action mode, Dolby video , improved cinematic mode,pro Raw,A16 Bionic, dynamic island,photonic engine, Highest Peak Nits mpaka 2000 na HDR hadi 1600, hatujaona hii nits kweny simu yyte bado,hata hyo satellite SOS imekua improved zaid ya ile ya kweny P50 , Lakini bado mtu anakwambia ni sawa na iphone 13 tu
Yes for chipset ila technology kama Dolby vision ni za toka 2020 kuanzia iphone 11, dynamic island? Hiyo ni notch tu imekua redesigned, satellite coms (kumbuka sasa hivi ni sms tu na inacharge kubwa zaidi) nani atatumia lets say ni emergency police hata kupiga 911 Africa hawaji..hawajamaa wametuangusha let's see mauzo yake japo cheap trade in za mamtoni zitawabeba.
 
Big NO watu wana prototype za simu zinazopungua nakuongezeka ukubwa kutokana na uhitaji, lakini saivi tunasmart zakufold i.e ambazo Huawei na Samsung wameshaimaster technology. R&D wa apple wanakazi yakufanya zaidi ya kuwashika masikio watumiaji wao.
View attachment 2350909

View attachment 2350910
Flagship ya Samsung hawawezi ifanyia mchezo wa kitoto.

Lazima wakae chini waumize kichwa.

S & Note series ndo flagship za Samsung. Hizo nyingine wanafanya majaribio ambapo hata watu wasiponunua sio big deal.

Kampuni zote kubwa duniani, hawafanyi mchezo na flagships zao.
 
Kuna tofauti kubwa kidogo kama kule watatumia esim pia video recording itakuwa 8k na zoom yake itakuwa 10x ya iphone nyingine. Na pia nasikia itakuwa 8000 mAh battery capacity.
Unaongea as if kwamb unatumia hyo iPhone 13 max na promax sizani Kama unayo hyo simu Sana unatumia infix

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Flagship ya Samsung hawawezi ifanyia mchezo wa kitoto.

Lazima wakae chini waumize kichwa.

S & Note series ndo flagship za Samsung. Hizo nyingine wanafanya majaribio ambapo hata watu wasiponunua sio big deal.

Kampuni zote kubwa duniani, hawafanyi mchezo na flagships zao.
So turudi kwenye swali letu kwanini apple wamegamble (na flagship) yao ?
 
Big NO watu wana prototype za simu zinazopungua nakuongezeka ukubwa kutokana na uhitaji, lakini saivi tunasmart zakufold i.e ambazo Huawei na Samsung wameshaimaster technology. R&D wa apple wanakazi yakufanya zaidi ya kuwashika masikio watumiaji wao.
View attachment 2350909

View attachment 2350910

Folding smartphone hazina nafasi kwa soko la sasa na zimefail vibaya mno . Tech ya foldable bado sana na hii iliyopo haina maana yoyote ni kuhadaa wateja tu .
 
Watu wameuza Unit zaidi ya 10 Million za fold devices mpaka 2021 tu alafu alafu unasema ? It was bold decision na watu wanadopt ndio maana wameua series ya note kwasababu wanapata pesa zakutosha kwenye new premiums (Folds).

Models za Iphone 13 zimeuza zaidi ya 60mil units … na siyo foldable

Fldable ni gimmick tu hamna kitu kipya zinaongeza … Foldable zilizopo zina madhaifu mengi kuliko faida za ku fold .

Kama zingekuwa game changer basi watu wangezikimbilia sana maana outside they look futuristic ila in reality hamna kitu,

Ni half baked cake
 
Mzee Flip sio ya kila mtu Galaxy Z flip moja unapata Iphone 13 mbili, + it's a new and a risky venture...watu waliumiza kichwa wakaiweka product mezan so kuship 10M products it's no joke...hapo hujaweka series yao ya S na takataka zingine zote za A,M na C 🤫
 
Yes for chipset ila technology kama Dolby vision ni za toka 2020 kuanzia iphone 11, dynamic island? Hiyo ni notch tu imekua redesigned, satellite coms (kumbuka sasa hivi ni sms tu na inacharge kubwa zaidi) nani atatumia lets say ni emergency police hata kupiga 911 Africa hawaji..hawajamaa wametuangusha let's see mauzo yake japo cheap trade in za mamtoni zitawabeba.
Hizo improvement ni kubwa tu,unategemea kitu gani kipya haswa kweny Smartphones? Jamaa wamefanya improvement kweny chip, display, mpaka camera pro features,ukifuatilia hiyo Dynamic unayosema ni notch tu,jamaa wakaja nayo kwa style ya tofaut na ndio hapo wanakopgia bao [emoji1].Ngoja tuone sales
 
Yes for chipset ila technology kama Dolby vision ni za toka 2020 kuanzia iphone 11, dynamic island? Hiyo ni notch tu imekua redesigned, satellite coms (kumbuka sasa hivi ni sms tu na inacharge kubwa zaidi) nani atatumia lets say ni emergency police hata kupiga 911 Africa hawaji..hawajamaa wametuangusha let's see mauzo yake japo cheap trade in za mamtoni zitawabeba.
Iphone atauza sana mkuu!! Kwa vile watu wengi ivyo hawavijui 80% ya iphone users wananunua kwa status haswa wasichana.
 
Back
Top Bottom