Asalamaleko
JF-Expert Member
- May 10, 2015
- 2,699
- 7,726
Vijana mtapoteza sana Marinda kwa kupenda iPhone wakat hamna uwezo nazo... Vifiro tu mtapewa safar hii
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ila hua wanaongeza Sana ili wapate super profit mbona Kenya Bei afadhali kidogo. We ngoja zitue Bongo utaona hiyo iPhone 14 itauzwa million 2 ambayo ni karibu Dola 1000 hiyo iPhone 14 pro itauzwa million 3 na kitu.[emoji23] Wanaweka running costs zao kwenda kufata mzigo bado walipie kodi na bado walipie tozo!
Ila hua wanaongeza Sana ili wapate super profit mbona Kenya Bei afadhali kidogo. We ngoja zitue Bongo utaona hiyo iPhone 14 itauzwa million 2 ambayo ni karibu Dola 1000 hiyo iPhone 14 pro itauzwa million 3 na kitu.
Hua najiuliza sipati jibu
Ni vile tu wabongo wengi hawana kazi na hzi simu zaid ya kuuza sura tu, iphone 14 pro na pro max zimefanyiwa massive upgrade sana,inakuja na Action mode, Dolby video , improved cinematic mode,pro Raw,A16 Bionic, dynamic island,photonic engine, Highest Peak Nits mpaka 2000 na HDR hadi 1600, hatujaona hii nits kweny simu yyte bado,hata hyo satellite SOS imekua improved zaid ya ile ya kweny P50 , Lakini bado mtu anakwambia ni sawa na iphone 13 tuIphone 14 haija trend naona haiongelew kabisa simu ni ileile kama iphone13 walichobadilisha kwenye 14pro ni notch na labda na hio satelite, photonic engine, proRAW Camera, A16 Bionic chip.
Sijaona mpya kwenye hii simu sidhan kama itafanya vzr kama iphone12 & 13. Kwenye mitandao zamn kama leo iphone inatrend ila kwa hii 14 wamezingua sana.
Big NO watu wana prototype za simu zinazopungua nakuongezeka ukubwa kutokana na uhitaji, lakini saivi tunasmart zakufold i.e ambazo Huawei na Samsung wameshaimaster technology. R&D wa apple wanakazi yakufanya zaidi ya kuwashika masikio watumiaji wao.Kwa tech ilipofika sasa, usitegemee masive change kwenye hizi simu.
Iwe iphone au android. Sahivi wana deal na small changes kwa next model.
Yes for chipset ila technology kama Dolby vision ni za toka 2020 kuanzia iphone 11, dynamic island? Hiyo ni notch tu imekua redesigned, satellite coms (kumbuka sasa hivi ni sms tu na inacharge kubwa zaidi) nani atatumia lets say ni emergency police hata kupiga 911 Africa hawaji..hawajamaa wametuangusha let's see mauzo yake japo cheap trade in za mamtoni zitawabeba.Ni vile tu wabongo wengi hawana kazi na hzi simu zaid ya kuuza sura tu, iphone 14 pro na pro max zimefanyiwa massive upgrade sana,inakuja na Action mode, Dolby video , improved cinematic mode,pro Raw,A16 Bionic, dynamic island,photonic engine, Highest Peak Nits mpaka 2000 na HDR hadi 1600, hatujaona hii nits kweny simu yyte bado,hata hyo satellite SOS imekua improved zaid ya ile ya kweny P50 , Lakini bado mtu anakwambia ni sawa na iphone 13 tu
Flagship ya Samsung hawawezi ifanyia mchezo wa kitoto.Big NO watu wana prototype za simu zinazopungua nakuongezeka ukubwa kutokana na uhitaji, lakini saivi tunasmart zakufold i.e ambazo Huawei na Samsung wameshaimaster technology. R&D wa apple wanakazi yakufanya zaidi ya kuwashika masikio watumiaji wao.
View attachment 2350909
View attachment 2350910
Unaongea as if kwamb unatumia hyo iPhone 13 max na promax sizani Kama unayo hyo simu Sana unatumia infixKuna tofauti kubwa kidogo kama kule watatumia esim pia video recording itakuwa 8k na zoom yake itakuwa 10x ya iphone nyingine. Na pia nasikia itakuwa 8000 mAh battery capacity.
So turudi kwenye swali letu kwanini apple wamegamble (na flagship) yao ?Flagship ya Samsung hawawezi ifanyia mchezo wa kitoto.
Lazima wakae chini waumize kichwa.
S & Note series ndo flagship za Samsung. Hizo nyingine wanafanya majaribio ambapo hata watu wasiponunua sio big deal.
Kampuni zote kubwa duniani, hawafanyi mchezo na flagships zao.
Big NO watu wana prototype za simu zinazopungua nakuongezeka ukubwa kutokana na uhitaji, lakini saivi tunasmart zakufold i.e ambazo Huawei na Samsung wameshaimaster technology. R&D wa apple wanakazi yakufanya zaidi ya kuwashika masikio watumiaji wao.
View attachment 2350909
View attachment 2350910
Watu wameuza Unit zaidi ya 10 Million za fold devices mpaka 2021 tu alafu alafu unasema ? It was bold decision na watu wanadopt ndio maana wameua series ya note kwasababu wanapata pesa zakutosha kwenye new premiums (Folds).Folding smartphone hazina nafasi kwa soko la sasa na zimefail vibaya mno . Tech ya foldable bado sana na hii iliyopo haina maana yoyote ni kuhadaa wateja tu .
Watu wameuza Unit zaidi ya 10 Million za fold devices mpaka 2021 tu alafu alafu unasema ? It was bold decision na watu wanadopt ndio maana wameua series ya note kwasababu wanapata pesa zakutosha kwenye new premiums (Folds).
![]()
Samsung shares foldable sales information, Flip vs Fold numbers are surprising
In an uncharacteristic move, Samsung announced foldable sales 2021 numbers. We know how many were sold and which one sold more.www.androidauthority.com
Ukiwa na stress njoo Jf tuu inatoshaaTayari maslay queen wameanza kunyoa ikulu ndogo, kwaajili ya mapambano ya kuipata hii simu!
Mzee Flip sio ya kila mtu Galaxy Z flip moja unapata Iphone 13 mbili, + it's a new and a risky venture...watu waliumiza kichwa wakaiweka product mezan so kuship 10M products it's no joke...hapo hujaweka series yao ya S na takataka zingine zote za A,M na C 🤫Models za Iphone 13 zimeuza zaidi ya 60mil units … na siyo foldable
Fldable ni gimmick tu hamna kitu kipya zinaongeza … Foldable zilizopo zina madhaifu mengi kuliko faida za ku fold .
Kama zingekuwa game changer basi watu wangezikimbilia sana maana outside they look futuristic ila in reality hamna kitu,
Ni half baked cake
Hizo improvement ni kubwa tu,unategemea kitu gani kipya haswa kweny Smartphones? Jamaa wamefanya improvement kweny chip, display, mpaka camera pro features,ukifuatilia hiyo Dynamic unayosema ni notch tu,jamaa wakaja nayo kwa style ya tofaut na ndio hapo wanakopgia bao [emoji1].Ngoja tuone salesYes for chipset ila technology kama Dolby vision ni za toka 2020 kuanzia iphone 11, dynamic island? Hiyo ni notch tu imekua redesigned, satellite coms (kumbuka sasa hivi ni sms tu na inacharge kubwa zaidi) nani atatumia lets say ni emergency police hata kupiga 911 Africa hawaji..hawajamaa wametuangusha let's see mauzo yake japo cheap trade in za mamtoni zitawabeba.
Iphone atauza sana mkuu!! Kwa vile watu wengi ivyo hawavijui 80% ya iphone users wananunua kwa status haswa wasichana.Yes for chipset ila technology kama Dolby vision ni za toka 2020 kuanzia iphone 11, dynamic island? Hiyo ni notch tu imekua redesigned, satellite coms (kumbuka sasa hivi ni sms tu na inacharge kubwa zaidi) nani atatumia lets say ni emergency police hata kupiga 911 Africa hawaji..hawajamaa wametuangusha let's see mauzo yake japo cheap trade in za mamtoni zitawabeba.
🤠🤠🤠🤠 Job aliondoka na akili zake