Pulchra Animo
JF-Expert Member
- Jun 16, 2016
- 3,718
- 3,465
FYI - Mimi sio mwalimu. Nawahurumia watu waliotiwa hasara ambayo ilikuwa inaepukika!Pole ndugu mwalimu, endelea kusubiri mpaka 2125 ajira zitakapotangazwa tena.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
FYI - Mimi sio mwalimu. Nawahurumia watu waliotiwa hasara ambayo ilikuwa inaepukika!Pole ndugu mwalimu, endelea kusubiri mpaka 2125 ajira zitakapotangazwa tena.
Kwa hiyo hawana Imani na vyuo vyao?Hiyo ni lugha ya fumbo kwamba waalimu hamna ajira tafuteni ajira zingine au rudini vyuoni msome fani zingine ambazo zina Market kwasasa........kungangania na bachelor yako ya ualimu ni kupoteza mda na kuendeleza jmasikini.
Kwan kukiwa na usaili ndo hakuna awamu nyngn? Au kisa una 0 ndo unajua habari yako imeishia hapo 😂S
Sio kupita wote wizara iajiri kama zamani mtu hata akikosa anajua awamu nyingine nitaweza kutoboa lakini sasa mtu anaonekana kama hakuna anachoweza
Wazo hilo kwa vile hujasomeshaKwani mkenda ali'graduate mwaka gani? Kipindi ualimu ni deal ndo kasoma, sasa hivi waalimu wamezagaa kama nyanya sokoni ni kibaya zaidi wengi ni watoto wa wakilima peasants hawana plan B zaidi ya kuajiliwa na serikali tu.
Sio kweli unapotosha !WAPUMBAVU NYIE WAACHENI WATU WA ELIMU NA WALIMU WAJIFANYIE MAMBO YAO MLITAKA UALIMU BILA INTERVIEW ILI MKAICHAFUE KADA YA UALIMU IONEKANE YA KIPUUZI...
Mmewatukana sana walimu, mlivyo ona ajira zimekuwa ngumu mkakimbilia kusoma ualimu huku hamuipendi hiyo kada, mliamini mkisoma ualimu mtapata kazi kiurahisi serikalini...
Sasa serikali imegundua kuna wapuuzi wengi wamesoma ualimu ila hawaupendi lengo lao ni kwenda kazini kula mshahara...
Kada zngn zinazofanya usail, serikali hawana imani na vyuo vyao?Kwa hiyo hawana Imani na vyuo vyao?
Siyo kwamba ajira zitengenezwe? Nyie watu kuweni serious!Hiyo ni lugha ya fumbo kwamba waalimu hamna ajira tafuteni ajira zingine au rudini vyuoni msome fani zingine ambazo zina Market kwasasa........kungangania na bachelor yako ya ualimu ni kupoteza mda na kuendeleza jmasikini.
Acheni mizaha kazi ya serikali yeyote duniani ni kutengeneza ajira Kwa watu wakeTatizo plan b hamna mnataka kufanya kazi serikalini. Huu ujinga wa kuajiriwa na serikali umewalemaza sana watanzania.
Hii hata Mimi na support...Waalimu wenye ajira wanatabia za ajabu ajabu sanaKila mtu, ashinde mechi zake, kaza msuli bhana, na bado walimu mtalia, na akili zitakuja, siyo kutumika tu, kuiba kura za upinzani.
Uwaziri ni uteuzi, au ulikuwa hujuiYeye mkenda hiyo nafasi aliyopo alifanya usaili lini?
Sawa mwamba, endelea kutuuzia idawa za kuongeza nguvu za kiume hapo mpanda.
Siyo kutengeneza ajira tu, pia ni kuweka mazingira mazuri kwaajili ya wananchi kujiajiri.SAcheni mizaha kazi ya serikali yeyote duniani ni kutengeneza ajira Kwa watu wake
Tulia uchujwe kwanza, halaf nije nikuonyeshe ajira yangu. Mnapenda sana mteremko😂Tuonyeshe wewe ajira yako kwanza