Lord denning
JF-Expert Member
- Jun 3, 2015
- 15,819
- 33,255
Ni vizuri ungetumia muda huu kujiuliza Kwa nini Wazanzibar walikuwa wanaondoka uwanjani leo wakati Magufuli wenu anahutubia kuliko kupiga propaganda uchwara kwenye Sera bora za Chadema ambazo watanzania wengi kwa pamoja tumezikubali na kuzipitisha!!
Hiyo ni budwaiser sio faru john iliyomfanya vibaya mwenyekiti wenu mbowe.Hiyo bia yenu ni bia gani?
Mbaguzi ni magufuli aliyesema mchana kweupe kuwa hawezi peleka miradi ya maendeleo kwenye majimbo ya wapinzani wakati kila mtanzania analipa kodiPitia sera ya Chadema ya majimbo unaweza ukalia ni ubaguzi wa hali ya juu
Uzushi wakati Kuna ushahidi wa video???Hakuna mtu aliyeondoka huo ni uzushi wa Chadema
Sera za majimbo ni za ukabila zinapendwa na Mabeberu tu
Tengeneza na wewe ya kwako kama kutengeneza ni rahisiVideo za kutengeneza ndio zinakuzuzua?
Tengeneza basi ya Tundu Lissu akila Tunda kama Gwajima mtaalamu wa CCM!! Si ni rahisi eeh ?😂😂Kutengeneza video ni kazi kubwa? Kweli Chadema imejaa vilaza
sera hiyo watakaoumia wengi ni watu wa kilimanjaro sababu kule kuna uhaba wa ardhi wa kufa mtu ukiwapiga lock down ya sera ya majimbo wao ndio watakuwa wa kwanza kukiona cha mtema kuni watachinjana kugombea ardhi.Muaji ya kimbari yatatokeaHili vijana wa Chadema wanaogopa kuliongelea ila hawalipendi?
Kwanini tubaguliwe kwa majimbo yetu ? Chadema huu ubaguzi hautawaacha salama
sera hiyo watakaoumia wengi ni watu wa kilimanjaro sababu kule kuna uhaba wa ardhi wa kufa mtu ukiwapiga lock down ya sera ya majimbo wao ndio watakuwa wa kwanza kukiona cha mtema kuni watachinjana kugombea ardhi.Muaji ya kimbari yatatokea
sasa hivi hayatokei sababu waweza enda popote tanzania wakapata ardhi,ajira ,fursa mbalimbali nk
Wale wanaokunywa matope vipi? Sera za majimbo ndio ziliwabagaza?kila nikisikia hii sera nawaza ubaguz tunaoneda kuwapa mikoa mfano kondoa kwa vile wao hawana rasilimal basi wabakie masikin miaka yao yote. mashindwe kabisa haya mapipoz
Wale wanaokunywa matope vipi? Wale mnaosema wasipochagua mataga hamuwapelekei maendeleo vipi?Pitia sera ya Chadema ya majimbo unaweza ukalia ni ubaguzi wa hali ya juu
Debe tupu ndio mkapiga kolabo ya vyombo dola?Lisu ni debe tupu!
JPM atosha.