Serengeti: Amuingizia mkewe panga sehemu za siri

dah, pole zake, uo uchu ulikuwa mpana kiasi gani hadi panga linaingia. ila sisi wanaume tupo type za ajabu, kuna wenzetu wakatili kupita wanyama.
 
Mhh, Watu wa Mara hasa Wakurya ni Makatili Sana.

Matukio yote scary huwa yanatokea huko, na bila serikali kuingilia kati wala jamii haitajali.
Ukileta ufala huku tunakunyonya macho.mambo ya diplomasia kwenye mapenzi tumewaachia nyie mazezeta wa pwani huko
 
Mhh, Watu wa Mara hasa Wakurya ni Makatili Sana.

Matukio yote scary huwa yanatokea huko, na bila serikali kuingilia kati wala jamii haitajali.
Wewe Mwenyewe sio mstarabu. Aliekukaririsha kuwa wote ni wakatili ni Nani? Shame on you.
 
Watani zangu watu wa Mara - hasa wakurya kiasili si watanzania ni wakenya, ndio sababu hawana tabia za kitanzania.
 
Hii ya kuingiza panga ni bora tu mabint wa dar, wasiione maana ikianza kutrend kwenye mitandao huku wanaselfika itapelekea mapanga kupanda sana bei.
 
Dah! Hili hatujakubaliana kwenye kikao jamani,Ni maamuzi binafsi....Huku ni kuwanyima haki wanaume wenzako wakati we upo Jela,Haikubaliki hii.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…