Serengeti: Amuingizia mkewe panga sehemu za siri

hii ndo shida ya wanawake hawako tayari kuwa wa wazi mume anakuawa mbali na ww huwezi kujizuia mwambie muacheni umpate mwenzi wako atakayekutimizia haja zako kila unapojisika
 
😆😆 ,Hadi sasa Kanda ya Ziwa inaongoza 4=0
 
Kwanini watu msiachane kuliko kuishi maisha ya kutokuaminiana na kuviziana! Mbona dunia ina watu wengi sana aargh...
 
Inasikitisha sana huyu mwanaume licha ya wivu anaukatili hatari.Kama vp bora angemwambia waachane.
 
Jeshi la Polisi Mkoani Mara linamshikilia Gimusi Murimi (42), Mkazi wa Wilaya ya Serengeti kwa madai ya kumjeruhi mkewe kwa kumuingizia panga sehemu za siri akimtuhumu kuchepuka


Kamanda wa Polisi Mara, Longinus Tibishubwamu amesema Mtuhumiwa anafanya kazi Katoro, Geita na Mei 25, 2022 aliporejea nyumbani alibaini mkewe sio mwaminifu kwenye ndoa

Kamanda anasema "Akamshambulia kwa fimbo na baadaye kumwingizia panga sehemu za siri na kumuumiza sana. Mwathirika yupo hospitali akipatiwa matibabu, uchunguzi unaendelea huku mtuhumiwa tukiwa tumemshikilia"

Tukio hilo ni mwendelezo wa matukio ya migogoro katika mahusiano. Je, Sheria kali na ushauri toka Wataalamu wa Saikolojia (Psychology) na Viongozi wa Dini vinaweza kubadili hali hii?
 
Safi sana
 
Wanaume selfish sana wao wakicheupuka ukidume na wanachapa hadi wake za watu ila wao wakichapiwa inawauma. Huyo anastahili kunyongwa tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…