Serengeti: Amuingizia mkewe panga sehemu za siri

Hao jamaa tunaishi nao lakini evolution Yao ya ubinadamu bado haijakamilika. kiukweli bado wapo karibu na manyani kuliko sisi
 
Wanaume ukimuoa mwanamke sio kwambae unamiliki uhai wake au una mamlaka ya kumfanyae chochote
Acheni ukatili kwa wanawakee achenie mfumo dume,hamuelewani muache vuta chombo kipyaa
Vile vile kwa wanawake,wanaume wengine wanateswa na wake zao hadi kuuawa.

#Kiufupi jamii yote ibadilike,kote hali ni mbaya kwa jinsia 'me' na 'ke'.
 
Vile vile kwa wanawake,wanaume wengine wanateswa na wake zao hadi kuuawa.

#Kiufupi jamii yote ibadilike,kote hali ni mbaya kwa jinsia 'me' na 'ke'.
Ni sawa mjiongelee mi naongelea upande wangu japo sikubali ukatili kwa yeyote yule
 
Hawa wanaume vipi jamani....hapa duniani hakuna mbususu yako peke yako. Wee shukuru ukipewa usianze kutaka kujimilikisha mbususu ya mkeo
 
Afrika kumezidi ukatili, ni ukatili ulioipitiliza , yametoka ya swalha,leo mwingine tena! Ila wanawake wengine bwana wanajitakia wenyewe, umeolewa na bado haitoshi unachepuka na wengine. Pumbafu kabisaa.
 
Ukiweza kuepuka hasira kali na tamaa umeshinda uharibifu mkubwa wa dunia hii.
 
ccr
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…