Serengeti: Tabitha Mwise asimulia jinsi Polisi walivyo Vamia nyumbani na kuvuliwa nguo mbele ya baba yake na kulazimisha afanye naye Mapenzi

Kwanini wale wanaoiba fedha za umma ambazo ni nyingi kuliko hizo wanazoiba hao wenye silaha za kienyeji hamuwavui nguo ili warudishe hizo pesa?

wale hawaui watu,kama uko makini bunduki ndio imesababisha sio wizi.
 
Maelezo YA huyo kamanda wa polisi Yana utata Sana, hizo kauli za kushambuliwa huwa wanazipenda Sana nahis iki Ku justify mauaji wanayoyafanya .
 
Unapodili na jambazi unadili na shetani na shetani atoki kwa nyimbo wala mapambio
Mkuu baadhi ya watu humu wanataaka mtuhumiwa wa uhalifu
Awe treated kama anapelekwa picknick....
Ukishaamua deal na jambaz elewa una deal na mtu siyo wa kawaida
Tatizo wanasiasa sjui wanaharakati
Wanaingilia haya mambo bila wao kujuwa chochote kuhusu majambazi
Sasa we umemkamata jambaz sugu
Unataka kumhoji unafikiri ukimuhoji
Kwa maongezi tu atatoa ushirikiano
Lazima umbaneeee

Ova
 
Tanzania inageuka kuwa anarchy state [emoji848][emoji848][emoji22]
Kuna wakati unapodeal na jambazi
Una deal naye totally
Na siyo tanzania tu hata kenya tu hapo,kuna wakati wahalifu sugu wakifatwa ni kazi moja tu
Kuna watu washashindikana na hawasikiii,na wakiendelea waleaaa
Wataendelea kufanya uhalifu
Dawa ni moja tu kuwa eliminate

Ova
 
Ila tunaambiwa sasa tunaishi kwa amani kwa sababu yule katili hayupo tena maana ilikuwa kila baya huanza kwake.
 
 
Sababu ya vifo ni ujambazi ,familia inataka sababu gani nyingine?

Hilo la kulazimisha sex na Mzee ndio la Hoja..

Acheni utani nyie wezi na majambazi yanakera Sana.
 
Ahsante mkuu
 
Ukisema mtuhumiwa ni kwamba hata wewe unaweza kuja kuwa mtuhumiwa kwa kitu chochote kile, sasa ukiwa watu wanauliwa kisa wanatuhumiwa tu huoni kuwa itakujakuwa wanauliwa na ambao sio wahalifu kweli?
 
Sasa huyo binti alikua na kosa gani maskini, je baada ya tukio amepata msaada wowote kisaikolojia
 
Najaribu kujiuliza; kweli askari anaweza kukwambia kanionyeshe unapoficha silaha na kweli ukaenda kumuonyesha kwa utii kabisa, halafu akupige risasi? Kama kuna askari kafanya hivi ni wa ajabu!

Ila kama unaenda ktk chimbo lako la uhalifu halafu unataka kumuua askari au kutoroka sasa huo ndio uthibitisho wa uhalifu. Katika hili la Serengeti naona ndicho kilichotokea kama alivyoeleza RPC. Tusiwalaumu polisi bali tuchambue nature ya tukio. 🙏🙏🙏
 
Ukisema mtuhumiwa ni kwamba hata wewe unaweza kuja kuwa mtuhumiwa kwa kitu chochote kile, sasa ukiwa watu wanauliwa kisa wanatuhumiwa tu huoni kuwa itakujakuwa wanauliwa na ambao sio wahalifu kweli?
Kwenye vita ya kupambana na ujambazi kuna mambo mengi sana
Jambazi ni jambazi tu
Jambazi sugu atachomoka tu kupitia mahakama,kutokana na mambo ya sheria

Ova
 
Kwenye vita ya kupambana na ujambazi kuna mambo mengi sana
Jambazi ni jambazi tu
Jambazi sugu atachomoka tu kupitia mahakama,kutokana na mambo ya sheria

Ova
Sawa kuna majambazi ila kuna watuhumiwa tu pia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…