field marshall1
JF-Expert Member
- Sep 17, 2017
- 1,171
- 2,732
Huo ni unyama uliopitiliza. Samia uliahidi kufanya restructring ya jeshi la police lakini bado jeshi limebakia pale pale na halijabadilika.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huo ni unyama uliopitiliza. Samia uliahidi kufanya restructring ya jeshi la police lakini bado jeshi limebakia pale pale na halijabadilika.
Sukuma gang kazini
Ccm ni kichaka tuTanzania Sasa imekuwa state of emergency
Bila kuiondoa CCM kamwe haya mambo hayawezi kuishaCatherine Ruge yuko sahihi kabisa.
Kwanini wale wanaoiba fedha za umma ambazo ni nyingi kuliko hizo wanazoiba hao wenye silaha za kienyeji hamuwavui nguo ili warudishe hizo pesa?
Maelezo YA huyo kamanda wa polisi Yana utata Sana, hizo kauli za kushambuliwa huwa wanazipenda Sana nahis iki Ku justify mauaji wanayoyafanya .View attachment 2367550
Binti asimulia polisi alivyomvua nguo mbele ya baba yake Serengeti
Sunday September 25 2022
Tabitha Mwise (22), binti wa Mwise Simon (54), mmoja wa watu watatu waliouwawa kwa kupigwa risasi na polisi wilayani Serengeti kwa tuhuma za ujambazi amesimulia tukio la polisi kuvamia nyumbani kwao kumtia mbaroni baba yake ambaye sasa ni marehemu.

By Beldina Nyakeke
IN SUMMARY

Musoma. Tabitha Mwise (22), binti wa Mwise Simon (54), mmoja wa watu watatu waliouwawa kwa kupigwa risasi na polisi wilayani Serengeti kwa tuhuma za ujambazi amesimulia tukio la polisi kuvamia nyumbani kwao kumtia mbaroni baba yake ambaye sasa ni marehemu.
“Kwanza walifika kwa kishindo alfajiri ya Septemba 21, mwaka huu wakiwa na magari mawili; wakavunja milango na kuwatoa nje wote waliokuwemo ndani huku wakimtembezea kipigo kila aliyekuwa mbele yao,” amesema binti huyo
Amesema mlango wake ulipovunjwa na yeye kutolewa nje kwa vipigo, alimkuta baba yake na ndugu wengine wakiwa tayari wametolewa nje huku wakipigwa kulazimishwa kuonyesa silaha zilipofichwa.
“Baada ya kuwajibu kwamba sifahamu bunduki ilipo na wala sijawahi kumwona baba yangu akiwa na bunduki, askari wale waliendelea kunishambulia sehemu mbalimbali za mwili huku watuamuru mimi na baba kuvua nguo zote,” amesema Tabitha akionyesha huzuni usoni kabla ya kushindwa kuendelea kusimulia tukio hilo
Binti huyo ametoa simulizi hiyo mjini Musoma leo Septemba 25, 2022 wakati familia mbili kati ya tatu zilizopoteza wapendwa wao katika tukio hilo walipokutana na waandishi wa habari kusisitiza msimamo wa kutozika hadi uchunguzi huru na wa kina ufanyike kujua sababu na jinsi ndugu zao walivyopigwa risasi.
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mara, Longinus Tibishiwanu hakupatikana kuzungumzia tuhuma za askari wake kudaiwa kuwavua nguo baba na binti yake mbele ya wanafamilia wengine baada ya msaidizi wake aliyepokea simu yake ya kiganjani kueleza kuwa kiongozi huyo alikuwa kwenye ibada.
Msimamo wa familia
Wakizungumza na waandishi wa habari mjini Musoma, familia ya Mwise Simon na Mgare Mokiri wamesisitiza kutozika hadi uchunguzi wa kina utakapofanyika kubaini sababu na mazingira ya vifo vya ndugu zao.
"Tume huru tunayoomba iundwe ichunguze siyo tu mauaji ya Serengeti, bali pia ya watu wengine waliofia katika mikono ya polisi katika matukio mbalimbali wakiwemo wale waliodaiwa kuwa ni Panya Road," alisema Catherine Ruge, ambaye ni mpwa wa marehemu Mwise Simon
Catherine ambaye pia ni Katibu wa Baraza la Wanawake wa Chadema (Bavicha) amemwomba Rais Samia Suluhu Hassan kuingilia kati suala hilo kama alivyofanya kwa kifo cha mfanyabiashara wa madini Mussa Hamisi wa Mtwara aliyefia mikononi mwa polisi.
Watu hao waliouwawa na askari polisi kutoka mikoa ya Mwanza, Mara, Simiyu na Tarime/Rorya ambao walikuwa wanafanya operesheni ya kusaka watu wanaodaiwa kuwa ni majambazi.
Mwingine aliyepigwa risasi katika tukio hilo lililotokea usiku wa kumakia Septemba 22, mwaka huu ni Mairo Togoro (56) ambaye familia yake haikuwepo kwenye mkutano wa waandishi wa habari mjini Musoma.
Katika taarifa yake kwa vyombo vya habari, Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mara, Longinus Tibishiwanu alisema watu hao walipigwa risasi walipojaribu kutoroka walipoenda na askari polisi kuonyesha maficha yao na eneo wanakohifadhi silaha walizodaiwa kuzitumia kwenye uhalifu.
Taarifa hiyo inadai watu hao ambao sasa ni marehemu walikuwa wanatuhumiwa kujihusisha na matukio ya ujambazi na waliwaongoza askari kwenda kuonyesha walipojificha wenzao watatu lakini walipofika kitongoji cha Gentamome, ghafla askari polisi walishambuliwa ndipo walipolazimika kujibu mapigo.
More From Mwananchi
Mkuu baadhi ya watu humu wanataaka mtuhumiwa wa uhalifuUnapodili na jambazi unadili na shetani na shetani atoki kwa nyimbo wala mapambio
Kuna wakati unapodeal na jambaziTanzania inageuka kuwa anarchy state [emoji848][emoji848][emoji22]
View attachment 2367550

Taarifa hiyo inadai watu hao ambao sasa ni marehemu walikuwa wanatuhumiwa kujihusisha na matukio ya ujambazi na waliwaongoza askari kwenda kuonyesha walipojificha wenzao watatu lakini walipofika kitongoji cha Gentamome, ghafla askari polisi walishambuliwa ndipo walipolazimika kujibu mapigo. Askari Hana mda wa kutafuta ushahidi ushahidi atautafuta mhisiwa sio mtuhumiwa Tena hahaaaa
Sababu ya vifo ni ujambazi ,familia inataka sababu gani nyingine?View attachment 2367550
Binti asimulia polisi alivyomvua nguo mbele ya baba yake Serengeti
Sunday September 25 2022
Tabitha Mwise (22), binti wa Mwise Simon (54), mmoja wa watu watatu waliouwawa kwa kupigwa risasi na polisi wilayani Serengeti kwa tuhuma za ujambazi amesimulia tukio la polisi kuvamia nyumbani kwao kumtia mbaroni baba yake ambaye sasa ni marehemu.
Binti asimulia polisi alivyomvua nguo mbele ya baba yake Serengeti
By Beldina Nyakeke
IN SUMMARY
Tabitha Mwise (22), binti wa Mwise Simon (54), mmoja wa watu watatu waliouwawa kwa kupigwa risasi na polisi wilayani Serengeti kwa tuhuma za ujambazi amesimulia tukio la polisi kuvamia nyumbani kwao kumtia mbaroni baba yake ambaye sasa ni marehemu.
Musoma. Tabitha Mwise (22), binti wa Mwise Simon (54), mmoja wa watu watatu waliouwawa kwa kupigwa risasi na polisi wilayani Serengeti kwa tuhuma za ujambazi amesimulia tukio la polisi kuvamia nyumbani kwao kumtia mbaroni baba yake ambaye sasa ni marehemu.
“Kwanza walifika kwa kishindo alfajiri ya Septemba 21, mwaka huu wakiwa na magari mawili; wakavunja milango na kuwatoa nje wote waliokuwemo ndani huku wakimtembezea kipigo kila aliyekuwa mbele yao,” amesema binti huyo
Amesema mlango wake ulipovunjwa na yeye kutolewa nje kwa vipigo, alimkuta baba yake na ndugu wengine wakiwa tayari wametolewa nje huku wakipigwa kulazimishwa kuonyesa silaha zilipofichwa.
“Baada ya kuwajibu kwamba sifahamu bunduki ilipo na wala sijawahi kumwona baba yangu akiwa na bunduki, askari wale waliendelea kunishambulia sehemu mbalimbali za mwili huku watuamuru mimi na baba kuvua nguo zote,” amesema Tabitha akionyesha huzuni usoni kabla ya kushindwa kuendelea kusimulia tukio hilo
Binti huyo ametoa simulizi hiyo mjini Musoma leo Septemba 25, 2022 wakati familia mbili kati ya tatu zilizopoteza wapendwa wao katika tukio hilo walipokutana na waandishi wa habari kusisitiza msimamo wa kutozika hadi uchunguzi huru na wa kina ufanyike kujua sababu na jinsi ndugu zao walivyopigwa risasi.
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mara, Longinus Tibishiwanu hakupatikana kuzungumzia tuhuma za askari wake kudaiwa kuwavua nguo baba na binti yake mbele ya wanafamilia wengine baada ya msaidizi wake aliyepokea simu yake ya kiganjani kueleza kuwa kiongozi huyo alikuwa kwenye ibada.
Msimamo wa familia
Wakizungumza na waandishi wa habari mjini Musoma, familia ya Mwise Simon na Mgare Mokiri wamesisitiza kutozika hadi uchunguzi wa kina utakapofanyika kubaini sababu na mazingira ya vifo vya ndugu zao.
"Tume huru tunayoomba iundwe ichunguze siyo tu mauaji ya Serengeti, bali pia ya watu wengine waliofia katika mikono ya polisi katika matukio mbalimbali wakiwemo wale waliodaiwa kuwa ni Panya Road," alisema Catherine Ruge, ambaye ni mpwa wa marehemu Mwise Simon
Catherine ambaye pia ni Katibu wa Baraza la Wanawake wa Chadema (Bavicha) amemwomba Rais Samia Suluhu Hassan kuingilia kati suala hilo kama alivyofanya kwa kifo cha mfanyabiashara wa madini Mussa Hamisi wa Mtwara aliyefia mikononi mwa polisi.
Watu hao waliouwawa na askari polisi kutoka mikoa ya Mwanza, Mara, Simiyu na Tarime/Rorya ambao walikuwa wanafanya operesheni ya kusaka watu wanaodaiwa kuwa ni majambazi.
Mwingine aliyepigwa risasi katika tukio hilo lililotokea usiku wa kumakia Septemba 22, mwaka huu ni Mairo Togoro (56) ambaye familia yake haikuwepo kwenye mkutano wa waandishi wa habari mjini Musoma.
Katika taarifa yake kwa vyombo vya habari, Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mara, Longinus Tibishiwanu alisema watu hao walipigwa risasi walipojaribu kutoroka walipoenda na askari polisi kuonyesha maficha yao na eneo wanakohifadhi silaha walizodaiwa kuzitumia kwenye uhalifu.
Taarifa hiyo inadai watu hao ambao sasa ni marehemu walikuwa wanatuhumiwa kujihusisha na matukio ya ujambazi na waliwaongoza askari kwenda kuonyesha walipojificha wenzao watatu lakini walipofika kitongoji cha Gentamome, ghafla askari polisi walishambuliwa ndipo walipolazimika kujibu mapigo.
More From Mwananchi
Ahsante mkuuView attachment 2367550

Wewe hamnazo..Izo ni mbinu tu ili mtuhumiwa afunguke, msidhani ni kazi rahisi kudeal na jambazi
Ukisema mtuhumiwa ni kwamba hata wewe unaweza kuja kuwa mtuhumiwa kwa kitu chochote kile, sasa ukiwa watu wanauliwa kisa wanatuhumiwa tu huoni kuwa itakujakuwa wanauliwa na ambao sio wahalifu kweli?Mkuu baadhi ya watu humu wanataaka mtuhumiwa wa uhalifu
Awe treated kama anapelekwa picknick....
Ukishaamua deal na jambaz elewa una deal na mtu siyo wa kawaida
Tatizo wanasiasa sjui wanaharakati
Wanaingilia haya mambo bila wao kujuwa chochote kuhusu majambazi
Sasa we umemkamata jambaz sugu
Unataka kumhoji unafikiri ukimuhoji
Kwa maongezi tu atatoa ushirikiano
Lazima umbaneeee
Ova
Hao wahuni wanaofanya kazi ya polisi wanatakiwa kuchukuliwa hatua za kisheriaNdio unamvua nguo yeye na binti yake na kulazimisha wafanye mapenzi?
Kwenye vita ya kupambana na ujambazi kuna mambo mengi sanaUkisema mtuhumiwa ni kwamba hata wewe unaweza kuja kuwa mtuhumiwa kwa kitu chochote kile, sasa ukiwa watu wanauliwa kisa wanatuhumiwa tu huoni kuwa itakujakuwa wanauliwa na ambao sio wahalifu kweli?
Sawa kuna majambazi ila kuna watuhumiwa tu pia.Kwenye vita ya kupambana na ujambazi kuna mambo mengi sana
Jambazi ni jambazi tu
Jambazi sugu atachomoka tu kupitia mahakama,kutokana na mambo ya sheria
Ova