Serengeti: Tabitha Mwise asimulia jinsi Polisi walivyo Vamia nyumbani na kuvuliwa nguo mbele ya baba yake na kulazimisha afanye naye Mapenzi

Serengeti: Tabitha Mwise asimulia jinsi Polisi walivyo Vamia nyumbani na kuvuliwa nguo mbele ya baba yake na kulazimisha afanye naye Mapenzi

Sasa kama baba anabunduki ulitaka wamuimbie nyimbo aseme iliko????

Unadhani mtuhumiwa wa ujambazi wa siraha ili akuoneshe bunduki iliko ni kazi ndogo??? Ukipewa wewe iyo kazi unaweza hata ukamuacha kumbe mali ipo na ataendelea kuitumia.

Izo ni mbinu tu za kumfanya mtuhumiwa afunguke.

Polisi speed bado ni ndogo sana, nashauri iongezwe ili wahalifu wapaone Tanzania kama jehanam
Utakuwa na utindio wa ubongo wewe sio bure,ndio maana Police wanasoma psychology wanatakiwa watumie maarifa yao kumkaba mtuhumiwa mpaka aseme ukweli sio kutumia human Shield.
 
Naona majambazi siku hizi wameamua kukimbilia jamii forum kufungua nyuzi za kuwaponda maaskari kutokana moto wanaopelekewa siku hizi. Nyuzi zimekuwa nyingi mno.
Sawa ila kuna mengine yanahuzunisha so nisawa ukamwambia mtu alalae na baba ake saivi au mtu akuambie ulalane mama ako au baba ako wakikuona ndio akili za mwisho zakutumia wapate wanachotaka?? Au unachotaka kama ni akili hamna basi acheni kusumbua wananchi namiwafedheesha mnahuzunisha mfunguliwe mashitaka .

Mnaacha watu waliowaalifu mtu anakabunduki tu kamoja kasahau kuisajili ndio umlete ujinga huu this is not good inatia aibu huruma ikiwekwa instagram hii inshu hatupati tena wageni wakuja kuona magofu ya mbuga za wanyama
 
Mbinu za kimedani, kulitokeaga vita ya kikabila/ koo za kikurya...waryachoka na koo fulani. Hakukuwa na utulivu huko Ukuryani- Tarime. Hiyo mbinu ndiyo ilimaliza mapigano.Polisi walishindwa hadi JWTZ walitumika sambamba na FFU . Tusilaumu sana vyombo hivi, amani hata kutumia simu hizi, ni sehemu ya juhudu za hao wenzetu! Tuwaamini na kuwapa supoti mra!
 
Naona majambazi siku hizi wameamua kukimbilia jamii forum kufungua nyuzi za kuwaponda maaskari kutokana moto wanaopelekewa siku hizi. Nyuzi zimekuwa nyingi mno.
We punguani kaa kimya.
 
Kosa ni kumshurutisha alale na bintiye,

Hapo wamemsulubu asiyehusika(binti),

Kuna jamaa alikuwa na kesi kama hiyo, kilichofanyika alivuliwa nguo akafungwa kwenye kiti cha chuma alafu moto wa mkaa uliwashwa kwa chini, alivoanza kusikia harufu ya mishikaki yake alisema alikoficha bunduki.
 
Hayo mambo ya visasi kumuachia Mungu nadhani ni upotoshaji na Mungu atakuwa anachukizwa na kumsingizia.
Kwa nini matukio ya kishenz& kama haya watu nao wasi wa identify wahusika na kumalizana nao nje ya utaratibu? Maana kila mmoja akijua akilini kuwa mabaya nifanyayo ndani ya uniform basi nje ya uniform atashikishwa adabu
 
Majambazi ni watu hatari sana si wa kuonea huruma!! Polisi watende haki katika kukamata majambazi halisi na si visirani vya kuchukuliana mademu mitaani.
Kaka, raia wengi sana wasio na hatia huuawa na polisi kwa kisingizio cha ujambazi- kumbuka wafanyabiashara wa mahenge, iringa, arusha, na mtwara. Hili zoezi la kuua panda Road kiholela lisipofuatiliwa kiundani kujua profile ya wanaouawa- wenye hatia wengi watapotea mnooo
 
Nimefuatilia hizi taarifa, naona cable na taarifa fupi fupi za kulaani polisi tu. Wengine mara washauri kufukuzwa kazi Waziri na IGP. Lakini hakuna taarufa kamili inayoonyesha mwanzo mwisho wa thkio. Sasa mnaotoa taarifa naomba mtusaidie:
1. Kwanza kabisa issue nzima hasa ni nini?

2. Polisi walipofika hatua ya kwanza kabisa walifanya nini?
3. Then watuhumiwa nao walifanya nini kujibu polisi?
4. Ilikuaje hadi kufikia hivi vipande vya taarifa?

Kwa sasa, sijaona taarifa sahihi hivyo pia siwezi kuilaumu polisi. Kazi hizi wakati mwengine tunalaumu polisi bila kujua nature ya issue. Polisi wa Tanzania ni wakarimu mno ukiwa mtiifu. Ni tofauti kabisana baadhi ya nchi jirani. 🙏🙏🙏
 
Back
Top Bottom