Unique Flower
JF-Expert Member
- Apr 19, 2019
- 12,838
- 25,282
NikuchapeAcha watu wafanye kazi zao, usilete mihemko na huruma kwa kitu usichokifahamu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
NikuchapeAcha watu wafanye kazi zao, usilete mihemko na huruma kwa kitu usichokifahamu.
Utakuwa na utindio wa ubongo wewe sio bure,ndio maana Police wanasoma psychology wanatakiwa watumie maarifa yao kumkaba mtuhumiwa mpaka aseme ukweli sio kutumia human Shield.Sasa kama baba anabunduki ulitaka wamuimbie nyimbo aseme iliko????
Unadhani mtuhumiwa wa ujambazi wa siraha ili akuoneshe bunduki iliko ni kazi ndogo??? Ukipewa wewe iyo kazi unaweza hata ukamuacha kumbe mali ipo na ataendelea kuitumia.
Izo ni mbinu tu za kumfanya mtuhumiwa afunguke.
Polisi speed bado ni ndogo sana, nashauri iongezwe ili wahalifu wapaone Tanzania kama jehanam
Sawa ila kuna mengine yanahuzunisha so nisawa ukamwambia mtu alalae na baba ake saivi au mtu akuambie ulalane mama ako au baba ako wakikuona ndio akili za mwisho zakutumia wapate wanachotaka?? Au unachotaka kama ni akili hamna basi acheni kusumbua wananchi namiwafedheesha mnahuzunisha mfunguliwe mashitaka .Naona majambazi siku hizi wameamua kukimbilia jamii forum kufungua nyuzi za kuwaponda maaskari kutokana moto wanaopelekewa siku hizi. Nyuzi zimekuwa nyingi mno.
Haya wanayofanya watalipa wao na vizazi vyao mpk vya tatu!!... Wasidhani ni rahic damu itakuwa juu yao kuna oparetion inaendeleea huko serengeti... Ila unyama unakiukwa na watu wengi wamekamatwa, Bunda,Ramadi, na Busega wameenda kuhojiwa huko... Acha tuvute subira
Tatizo nchi iko mikononi mwa wapigaji, wako busy na kudokoa tozo
Acha upuuzi we afande fake. Mbinu gani za kudhalilisha hizo??!!!Izo ni mbinu tu ili mtuhumiwa afunguke, msidhani ni kazi rahisi kudeal na jambazi
Mimi sio afandeAcha upuuzi we afande fake. Mbinu gani za kudhalilisha hizo??!!!
Kaka, raia wengi sana wasio na hatia huuawa na polisi kwa kisingizio cha ujambazi- kumbuka wafanyabiashara wa mahenge, iringa, arusha, na mtwara. Hili zoezi la kuua panda Road kiholela lisipofuatiliwa kiundani kujua profile ya wanaouawa- wenye hatia wengi watapotea mnoooMajambazi ni watu hatari sana si wa kuonea huruma!! Polisi watende haki katika kukamata majambazi halisi na si visirani vya kuchukuliana mademu mitaani.