Serengeti: Tundu Lissu akumbuka shambulio dhidi yake, amtaka Rais mpya na IGP mpya kuwakamata Wahusika

Acha roho mbaya mkuu. Kiburi cha uzima na cheo ulichonacho ni kwa neema tu.
Nitakufa kweli lakini kwa namna Lissu anavyompaka Rais samia shombo, sioni haja ya kuwakamata watu hao.

Samia ndiyo alimtembelea hospitali mara 2, akalipa stahiki zake alizodhulumiwa na Magufuli, akamfanya arudi toka ukimbizini. Lakini pamoja nayote hayo Lissu akipanda kwenye majukwaa domo lake ni kumkejeli Rais Samia kwa maneno machafu.

Sioni rofauti ya IQ kati ya Mdude na Lissu. Kuna wakati nasema pengine nafuu Magufuli angemmaliza tu
 
Wawakamate? Thubutu labda uingie mfumo mpya kbs wa utawala!! Nb: Nakuhakikishia fuatilia comments hapa utawagundua wahusika kwa namna moja ama nyingine [emoji116][emoji116][emoji116]
Wewe ni mjinga tu
 
Wako wa kumsema na tunaelewa lakini siyo Lissu, alipaswa kuwa na chujio ya maneno
 
Mnataka ashukuru nini hata waliotaka kumuua hamuwstafuti wakati uwezo mnao?
Awatafute mwenyewe na awakamate sasa. Huwezi kumsaidia kichaa asiyetambua juhudi zako. Asubiri mpaka CHADEMA itakapo chukua madaraka
 
Rekebisha heading!!

Lissu anawezaje kukumbuka mauwaji dhidi yake?

Alikufa na akafufuka?
 
Hivi Rais Samia anaanzaje kuanza kuwakamata waliomshambilia Lissu mwaka 2017 kwa namna anavyomtukana majukwaani.

Hili jitu kweli likishambuliwa na watu wa Magufuli lakini halina shukrani. Wachana nalo
Bandari isitutenganishe pesa huisha lakini Tanzania itabaki vile vile
 
Kwani kuna ugumu gani ?
Kamanda nguli wa ufipa nadhan unatambua vzr tu kua.. jambo hawawez chunguza wala kukamata wahusika! Au mnataka mletewe wahusika raia wa Cambodia?πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡ Ishi humo!!
 

Attachments

  • - KumbukiziMTAFUTANO.jpg
    68.9 KB · Views: 2
Rekebisha heading!!

Lissu anawezaje kukumbuka mauwaji dhidi yake?

Alikufa na akafufuka?
Heading iko sawa mipango ya yule dhalimu mwendazake ilikuwa ni kumuua na kumzika kijijini kwake Ikungi. Ila kwa mapenzi ya Mungu alinusurika
 
Kama anathibitisha aliewatuma wauaji kafa, watamkamata nani sasa? Yeye akitaka aseme aliyewatuma kafa, ila waliotumwa wapo ambao ni fulani na fulani. Wakishaitwa nao watasema kama walitumwa kweli au hapana.
Nukuu (comment #2): "Wawakamate? Thubutu labda uingie mfumo mpya kbs wa utawala!! Nb: Nakuhakikishia fuatilia comments hapa utawagundua wahusika kwa namna moja ama nyingine πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡"
 
Mtuhumiwa kafa Sasa hapo Kuna kesi gani? Maana ndio anawajua aliowatuma
Nukuu (comment #2): "Wawakamate? Thubutu labda uingie mfumo mpya kbs wa utawala!! Nb: Nakuhakikishia fuatilia comments hapa utawagundua wahusika kwa namna moja ama nyingine πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡"
Quote Reply
 
Nimeshangaa sana mtu anakumbukaje mauaji yake wakati anakuwa ameshakufa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…