Serengeti: Tundu Lissu akumbuka shambulio dhidi yake, amtaka Rais mpya na IGP mpya kuwakamata Wahusika

Mauaji, kwani alikufa
 
Masikini Lisu anajidanganya. Waliotaka kumuua ni hao hao akina Mbowe na genge lao la ulaya. Dkt Magufuli na serikali havihusiki kabisa. Hivi kama kungekuwa na mkono wa serikali hata sasa angekuwa hai???? Tumieni akili mashabiki wake. Msikubali uongo.
 
Bwahaaaa haaaaaaaaa
Aiseee😂😂😂😂😂

Tundu Lissu akumbuka Mauaji dhidi yake,​

😂😂😂😂😂


Marehemu Tundu Lissu. Ooops Masikini Tundu Lissu aaaahh, Kamanda Mzee Bwana Tundu Lissu
 
Bwana Mzee Tundu Lissu
Amefufuka, Akumbuka mauaji Yake Miaka Sita iliyopita.



Ajishangaa , tizama picha👇
 
If wishes were horses.......... Mungu kaliulia mbali lishetani.
 
Kuna kitu nilikiandika kwa urefu ila nimekifuta.Itoshe kuandika kwamba wewe ni sehemu/tundu la nyuma la kutokea taka-mwili.Very,very and the maximum stupid with highest level of poverty!
 
Awaambie tec wamsemee kwenye hili, mbona wapo kimya?
Wasemeje bibi? Dini ya haki inasubiri tec waseme badala ya haki?

Sorry Waislamu safi, huyu bibi sometimes inabidi twende nae hivi. Hana time na wajukuu anashinda humu na udini wake.
 
Wawakamate? Thubutu labda uingie mfumo mpya kbs wa utawala!! Nb: Nakuhakikishia fuatilia comments hapa utawagundua wahusika kwa namna moja ama nyingine 👇👇👇
IGP DCI kawaguse hao hapo mwache aropoke jukwaani ili kutoa sumu ya sononeko la moyo wakati wahusika wako hapo nyuma yake
 
Lisu anapaswa kuelewa kuwa CCM syndicate ya kihalifu ambayo inapaswa kushughulikiwa na umma.

Waliotaka kumuua wapo hai mpaka leo nahisi.

Mungu amlinde hadi tuwajue waliofanya uovu ule.


Jamani, hivi Bashite hajambo? Anaendeleaje huko aliko?🤣
 
Jikite kwenye mada
Wewe umeshawahi kuwasikia tec wakiongelea jaribio la kumuuwa lussu, Au wao maisha ya watu kwao si kitu? Wao biashara tu ndiyo zinawahusu?

Awaambie na wewe msaidie kuwaambia tec, slaa, mwambulukusi na mdudu wamsemee kwenye hili, mbona wapo kimya?
 
Lisu anapaswa kuelewa kuwa CCM syndicate ya kihalifu ambayo inapaswa kushughulikiwa na umma.

Waliotaka kumuua wapo hai mpaka leo nahisi.

Mungu amlinde hadi tuwajue waliofanya uovu ule.


Jamani, hivi Bashite hajambo? Anaendeleaje huko aliko?🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…